Friday, June 9, 2017

SIMU TV: HABARI KUTOKA TELEVISHENI

Simu.tv: Serikali ya Tanzania imewasilisha bungeni bajeti ya mwaka 2017/2018 ya shilingii Trilioni 31 huku bidhaa kama pombe na sigara zikiongezewa ushuru; https://youtu.be/IXF3KleNtM0

Simu.tv: Waziri wa fedha na mipango Dr Philip Mpango amesema serikali imeweka vipaumbele kwenye ujenzi wa reli, ununuzi wa  ndege na sekta ya madini; https://youtu.be/Fg1KDgsvxRY

Simu.tv: Watu watatu wamefariki dunia na wengine watatu kujeruhiwa vibaya baada ya gari walilokuwa wakisafiria kuacha njia na kuparamia nyumba; https://youtu.be/ybjCaSKkTgo

Simu.tv: Kituo cha sheria na haki za binadamu LHRC kimeitaka Ewura kuachana na kusudio la kutaka kuiongozea muda kampuni ya IPTL; https://youtu.be/_x16v3AdI5c

Simu.tv: Shirika la viwango nchini TBS limewataka watanzania kupuuzia taarifa inayosambaa mitandaoni kuwa shirika hilo limetangaza nafasi za ajira; https://youtu.be/6sXo5hPKUK8  

Simu.tv: Mamlaka ya chakula na dawa TFDA na TBS wamesaini makubaliano ambayo yatasadia kusarahisisha mchakato wa utoaji vibali vya usajili katika mamlaka hizo; https://youtu.be/rJzF36ev2O0

Wadau wa maendeleo, wafanyabiashara na jamii kwa ujumla wametakiwa kuwasaidia watu wenye ulemavu ili wajione wako sawa na watu wengine; https://youtu.be/H9lcO1eeGb4  

Shirikisho la mpira wa miguu nchini TFF limesema kuwa kikosi cha timu ya taifa kiko tayari kwa ajili ya kuwakabili wapinzani wao wa Lesotho; https://youtu.be/qB3jdYXMBhU

Simu.tv: Timu ya soka ya Yanga imeaga rasmi mashindano ya Sportpesa baada ya leo hii kukubali kichapo kwa mikwaju ya penati 3-4 kutoka kwa AFC Leopards; https://youtu.be/AeZsYI9oXt4

Simu.tv: Uongozi wa bodi ya ligi kuu Tanzania bara umezikumbusha timu zote zitakazo shiriki ligi kuu msimu ujao kufanya maandalizi ya viwanja mapema; https://youtu.be/pPLjtpLxW5Y

Simu.tv: Kuelekea sherehe za Idd Mosi, kampuni mbalimbali za burudani nchini zimeanza kufanya maandalizi kwa ajili kuhakikisha watu wanapata burudani siku ya Eid; https://youtu.be/mP3B8GHpRn4

SIMU.TV: Serikali imewasilisha bungeni bajeti kuu ya mwaka 2017/2018 na kusema bajeti hiyo imelenga kusimamia msingi halisi wa uchumi wa viwanda https://youtu.be/hsew97UH5hw

SIMU.TV: Baadhi ya wananchi katika manispaa ya Bukoba mkoani Kagera wameipokea kwa mikono miwili bajeti ya serikali na kusema ikitekelezwa kikamilifu itasaidia kupunguza kero za wananchi. https://youtu.be/NxkGErgG4bc

SIMU.TV: Katibu tawala msaidizi mkoa wa Mbeya amesema serikali imeanza kuchukua hatua za kuthibiti mfumuko wa uchumi ili kuimarisha uchumi wa nchi. https://youtu.be/zj5fCC5g4bY

SIMU.TV: Wananchi wa mkoa wa Kigoma wametoa maoni yao kuhusu bajeti ya serikali ya mwaka 2017/2018 na kusema wanamatumaini makubwa na bajeti hii kutokana na kupunguza ushuru wa kusafirisha mazao. https://youtu.be/uJYmfeRZGLc

SIMU.TV: Watanzania wameaaswa kuwapuuza watu mbalimbali wanaobeza juhudi zinazofanywa na Rais Magufuli katika kulinda rasilimali za nchi. https://youtu.be/8o-7OSjJZ08

SIMU.TV: Wakazi wa jiji la Dar es Salaam ambao hawapati huduma ya maji safi na salama wametakiwa kuwasiliana na shirika la maji safi na maji taka jiji la Dar es Salaam DAWASCO ili kuunganishiwa huduma hiyo. https://youtu.be/kZV_0G3aymI

SIMU.TV: Wakulima wa Korosho mkoani Mtwara wametakiwa kuanza kuandaa mashamba yao kwa kufuata maelekezo ya watalaamu kujiandaa na msimu ujao wa korosho. https://youtu.be/r7puDvHWZQM

SIMU.TV: Makamu wa Rais Samia Suluhu Hassan amesema uharibifu wa mazingira katika ziwa Victoria umesababisha kushuka kwa mavuno ya samaki katika ziwa hilo. https://youtu.be/VH-BFUnsPeA

SIMU.TV: Kaimu mkurugenzi mkuu wa mamlaka ya chakula na dawa TFDA Raymond Wigenge amewataka wajasiriamali wasindakaji wa vyakuala  kusindika kwa ubora. https://youtu.be/mbaTfxPZ0jQ

SIMU.TV: Shirika la viwango TBS limewataka wananchi kupuuza tangazo la kazi linalosambaa katika mitandao ya kijamii kwa kuwa ni la uongo na halijatoka katika shirika hilo. https://youtu.be/Uwp-1OzEXv8

SIMU.TV: Kaimu mkurugenzi mkuu wa mfuko wa PSPF amewataka wanafunzi wa vyuo vikuu kuanza kuwekeza fedha zao katika mfuko wa hiyari wa PSPF ili waweze kunufaika na mafao. https://youtu.be/KcZbBHzk8Xc

SIMU.TV: Wachezaji Mohamedi Husein pamoja na Jonas Mkude wataukosa mchezo wa Taifa stars dhidi ya Lesotho kutokana na kusumbuliwa na majeruhi. https://youtu.be/8kidcAXtM2w

SIMU.TV: Makamu wa Rais Samia Suhusu Hassan amezindua mashindano ya UMISETA yanayofanyika mkoani Mwanza na kuagiza masomo ya michezo kutiliwa mkazo shuleni. https://youtu.be/BMxInl7KVZ8

SIMU.TV: Timu ya mpira wa kikapu ya mkoa wa Dar es Salaam inatarajiwa kuondoka kesho kuelekea jijini Nairobi kushiriki mashindano ya majiji. https://youtu.be/Z78gPd8cD5s

No comments: