Wednesday, June 7, 2017

NAKURU ALL STARS YAITOA SIMBA KWA PENATI 5-4 SPORTSPESA SUPER CUP

 Kiungo wa Simba Mwinyi Kazi Moto (kulia) akiwania mpira na Amani Kyata, wa Nakuru All Stars,  wakati wa mchezo wa mashindano ya SportPesa Super Cup, yanayoendelea kwenye Uwanja wa Uhuru jijini Dar es Salaam. Nakuru walishinda kwa mabao 5-4 kwa njia ya penati
 Beki wa Nakuru All Stars, Amakanji Ekuba, akiondoa mpira wa hatari mbele ya mshambuliaji wa Simba Sc, Juma Luizio, wakati wa mchezo wa mashindano ya SportPesa Super Cup, yanayoendelea kwenye Uwanja wa Uhuru jijini Dar es Salaam.
 Mshambuliaji wa Simba Juma Luizio (kulia) akichuana na Beki wa Nakuru All Stars, Amakanji Ekuba, wakati wa mchezo wa mashindano ya SportPesa Super Cup
 Beki wa Simba, Mwambeleko Jamal (kushoto) akiwania mpira na beki wa Nakuru All Stars, Nandwa Sosi,  wakati wa mchezo wa mashindano ya SportPesa Super Cup
 Beki wa Nakuru All Stars, Mukhwana Sadicky, akiondoa mpira wa hatari mbele ya mshambuliaji wa Simba, Juma Luizio
 Beki wa Nakuru All Stars, akiokoa mpira wa hatari mbele ya mshambuliaji wa Simba, Mohamed Ibrahim,  wakati wa mchezo wa mashindano ya SportPesa Super Cup
 Kiungo wa Simba Mwinyi Kazimoto (katikati) akijaribu kuwatoka mabeki wa Nakuru,  wakati wa mchezo wa mashindano ya SportPesa Super Cup
  Winga wa Simba, Jamal Mnyate, (kushoto) akichuana kuwania mpira na beki wa Nakuru All Stars,  wakati wa mchezo wa mashindano ya SportPesa Super Cup
 Kiungo wa Simba, Mwinyi Kazimoto, akijipinda kupiga shuti kuelekea langoni kwa wapinzani, Nakuru All Stars,  wakati wa mchezo wa mashindano ya SportPesa Super Cup
Mohamed Ibrahim wa Simba (kushoto) akiwania mpira na beki wa Nakuru All Stars, Mukhwana Sadicky, wakati wa mchezo wa mashindano ya SportPesa Super Cup. Picha zote kwa hisani ya Montage Ltd


No comments: