Gari
lililobeba mwili wa aliyekuwa Mwenyekiti wa Chadema mkoani Kilimanjaro,
Phillemon Ndesamburo likiingia kwenye kanisa la Kiinjili la Kilutheri
Tanzania (KKKT), Usharika wa Kiboroloni.
Mwenyekiti
wa Taifa wa Chadema, Freeman Mbowe akiiingia katika kanisa la Kiinjili
la Kilutheri Tanzania (KKKT), Usharika wa Kiboroloni kwa ajili ya
kumuaga aliyekuwa Mwenyekiti wa Chadema mkoani Kilimanjaro, Phillemon
Ndesamburo.
Viongozi mbali mbali wa Chadema wakiingia katika kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT), Usharika wa Kiboriloni.
Viongozi mbali mbali wa Chadema wakiingia katika kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT), Usharika wa Kiboriloni.
Waziri mkuu wa Zamani ambaye ni Mjumbe wa Kamati Kuu ya Chadema, Edward Lowassa akiingia kanisani.
Wabunge
wa Chadema wakiwa wamejipanga kupokea mwili wa aliyekuwa Mwenyekiti wa
Chadema mkoani Kilimanjaro, Phillemon Ndesamburo katika kanisa la
Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT), Usharika wa Kiboriloni.
Wajukuu wa Marehemu Phillemon Ndesamburo wakielekea kanisani.
Mwili wa aliyekuwa Mwenyekiti wa Chadema mkoani Kilimanjaro, Phillemon Ndesamburo ukiingizwa kanisani.
Viongozo wa Chadema wakiwa katika ibada ya kumuombea aliyekuwa Mwenyekiti wa Chadema mkoani Kilimanjaro, Phillemon Ndesamburo.
Mwili wa aliyekuwa Mwenyekiti wa Chadema mkoani Kilimanjaro, Phillemon Ndesamburo ukiwa kanisani tayari kwa maombezi.
Mke wa Marehemu aliyekuwa Mwenyekiti wa Chadema mkoani Kilimanjaro, Phillemon Ndesamburo (wa pili toka kushoto) akiwa kanisani.
No comments:
Post a Comment