Thursday, June 29, 2017

MALINZI ,MWESIGWA WARUDISHWA RUMANDE MPAKA JULAI 3


 Rais wa TFF, Jamal Malinzi akiwa na Katibu wake , Celestine Mwesigwa katika mahakama ya hakimu mkazi kisutu ambapo walisomewa mashtaka yao kadhaa ya matumizi mabaya ya ofisi ikiwe Kugushi nyaraka za shirikisho hilo pamoja na kutakatisha fedha zaidi ya laki tatu za kimarekani.
  Rais wa TFF, Jamal Malinzi akiwa na Katibu wake , Celestine Mwesigwa katika mahakama ya hakimu mkazi kisutu ambapo walisomewa mashtaka ya kadhaa ya matumizi mabaya ya ofisi ikiwa nipamoja na kutakatisha pesa zaidi ya laki tatu za kimarekani. washtakiwa hao wamepelekwa mahabusu kekeo kutokana na kesi hiyo kutokuwa na dhamana hivyo wataletwa tena mahakamani  mpaka julai 3

 Rais wa Simba ,Evance Aveva na Kaimu wake ,Godfrey Nyange(KABURU) wakiongea na aliyekuwa katibu wa Simba Evodius Mutawala katika mahakama ya hakimu mkazi kisutu ambapo walipandishwa kwa mashtaka tofauti ikiwemo la matumizi mabaya ya ofisi
 Haji Manara , Said Tully na wadau wengine wa mpira wakiwa ndani ya mahakama ya hakimu Mkazi kisutu jijini Dar es Salaam leo
 Wadau wa mpira wakiwa katika mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu kufatilia kesi inayowakabili viongozi wa Soka hapa nchini
  Wadau wa mpira wakiwa katika mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu kufatilia kesi inayowakabili viongozi wa Soka hapa nchini
 Wadau wa mpira wakiwa katika mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu kufatilia kesi inayowakabili viongozi wa Soka hapa nchini.

No comments: