Thursday, June 22, 2017

MAANDALIZI YA SIKUKUU YA EID KARIAKOO MAPEMA LEO

--
 Mmoja wa wakazi wa jiji la Dar es Salaam akiwa amempakia mwanawe katika baiskeli huku wakifanya Manunuzi ya vitu kadhaa kwa ajili ya maandalizi ya sikuu ya Eid  El Fitri kama walivyokuwa katika mtaa wa Congo Soko Kuu la Kariakoo jijini Dar es Salaam
 Mchuuzi wa miwani na Saa za watoto akimajribisah mmoja ya mtoto aliyeongozana na Baba yake kufnya manunuzi katika soko kuu la Kariakoo jijini Dar es Salaam
 Wanawake wakichagua nguo za watoto wao wa kike Mmoja wa wakazi wa jiji la Dar es Salaam akiwa amempakia mwanawe katika baiskeli huku wakifanya Manunuzi ya vitu kadhaa kwa ajili ya maandalizi ya sikuu ya Eid  El Fitri kama walivyokutwa na Camera yetu katika mtaa wa Congo Soko Kuu la Kariakoo jijini Dar es Salaam
 Mzazi akimjaribisha nguo mtoto wake wa kiume kutoka kwa wamachinga wa soko la Kariakoo kwa ajili ya maandalizi ya sikuu ya Eid el Fitri
 Wanawake wakiwa wanachgua  viatu vya kuvaa  kwa ajili ya maandalizi ya sikuu ya Eid el Fitri
Sehemu ya umatai wa watu uliofurika katika mtaa wa Congo katika soko kuu la Kariakoo jijini Dar es Salaam 

No comments: