Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Ali Mohamed Shein pampja na Viongozi mbali mbali wa Dini na Mashekhe wa Dini ya Kiislamu waliofika Ikulu Mjini Unguja leo kumtakia Rais Sikukuu njema baada ya kumalizika kwa Mfungo wa Mwezi Mtukufu wa Ramadhan,wakiitikia Dua Iliyoombwa na Mufti Mkuu wa Zanzibae Sheikh Saleh Omar Kabi
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Ali Mohamed Shein (katikati) pamoja na Makamu wa Pili wa Rais Balozi Seif Ali Iddi wakiaagana na Viongozi mbali mbali wa Dini na Mashekhe wa Dini ya Kiislamu waliofika Ikulu Mjini Unguja leo baada ya kutakiana Kheri katika Sikukuu ya Eid El Fitri iliyoanza leo baada ya kumalizika kwa Mfungo wa Mwezi Mtukufu wa Ramadhan
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Ali Mohamed Shein alipokuwa akisalimiana na Mjukuu wake Ali Abdalla Mitawi katika Kusherehekea Sikukuu ya Eid El Fitri iliyoanza leo baada ya kumalizika kwa Mfungo wa Mwezi Mtukufu wa Ramadhan
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Ali Mohamed Shein (kulia) alipokuwa akifanya mahojiano na Watoto Nabil Mohamed Said na Ahmed Mohamed Said (kushoto) waliofika Ikulu Mjini Unguja kutoka Shirika la Utangazaji ZBC kwa ajili ya kutayarisha Kipindi cha Watoto sambamba na Sikukuu ya Eid el Fitri iliyoanza leo baada ya kumalizika kwa Mfungo wa Mwezi Mtukufu wa Ramadhan
Baadhi ya Akinamama na Watoto waliofika katika viwaja vya Ikulu Mjini Unguja kwa ajili ya kusalimiana na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Ali Mohamed Shein (hayupo pichani) na Kupokea Mkono wa Eid katika kusherehekea Sikukuu ya Eid el Fitri iliyoanza leo baada ya kumalizika kwa Mfungo wa Mwezi Mtukufu wa Ramadhan
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Ali Mohamed Shein (kushoto)alipokuwa akitoa Sikukuu kwa Mzee Juma Kesi (kulia) alipojumuika na Wazee mbali mbali waliofika katika viwanja vya Ikulu Mjini Unguja kupokea mkono Eid el Fitri katika kusherehekea Sikukuu ya Eid el Fitri iliyoanza leo baada ya kumalizika kwa Mfungo wa Mwezi Mtukufu wa Ramadhan
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Ali Mohamed Shein (kushoto)alipokuwa akitoa Sikukuu kwa Mzee Juma Kesi (kulia) alipojumuika na Wazee mbali mbali waliofika katika viwanja vya Ikulu Mjini Unguja kupokea mkono Eid el Fitri katika kusherehekea Sikukuu ya Eid el Fitri iliyoanza leo baada ya kumalizika kwa Mfungo wa Mwezi Mtukufu wa Ramadhan
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Ali Mohamed Shein (kushoto)alipokuwa akitoa Sikukuu kwa Mzee Salum Othman Haji (kulia) alipojumuika na Wazee mbali mbali waliofika katika viwanja vya Ikulu Mjini Unguja kupokea mkono Eid el Fitri katika kusherehekea Sikukuu ya Eid el Fitri iliyoanza leo baada ya kumalizika kwa Mfungo wa Mwezi Mtukufu wa Ramadhan
Picha na Ikulu
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Ali Mohamed Shein (katikati) alipokuwa akipokea salamu ya Heshma ya Gwaride maalum la Kikosi cha Jeshi la Poilisi FFU wakati wa Baraza la Eid el Fitri katika viwanja vya Ukumbi wa zamani wa Baraza la Wawakilishi Kikwajuni Mjini Unguja leo, katika kusherehekea Sikukuu ya Eid el Fitri iliyoanza baada ya kumalizika kwa Mfungo wa Mwezi Mtukufu wa Ramadhan
Kikosi cha Jeshi la Poilisi FFU wakitoa salamu ya Hesma kwa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Ali Mohamed Shein (hayupo pichani) wakati wa sherehe za Baraza la Eid el fitri katika viwanja vya Ukumbi wa zamani wa Baraza la Wawakilishi Kikwajuni Mjini Unguja leo, katika kusherehekea Sikukuu ya Eid el Fitri iliyoanza baada ya kumalizika kwa Mfungo wa Mwezi Mtukufu wa Ramadhan
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Ali Mohamed Shein (kulia) akisalimiana na Mufti Mkuu wa Zanzibar Sheikh Saleh Omar Kabi mara baada ya kuingia katika ukumbi wa Zamani wa Baraza la Wawakilishi, Kikwajuni Mjini Unguja leo wakati wa sherehe za Baraza la Eid el fitri kusherehekea Sikukuu ya Eid el Fitri iliyoanza baada ya kumalizika kwa Mfungo wa Mwezi Mtukufu wa Ramadhan
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Ali Mohamed Shein (kulia) akisalimiana na Makamo wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzanioa Mhe. Samia Suluihu Hassan mara baada ya kuingia katika ukumbi wa Zamani wa Baraza la Wawakilishi, Kikwajuni Mjini Unguja leo wakati wa sherehe za Baraza la Eid el fitri katika kusherehekea Sikukuu ya Eid el Fitri iliyoanza baada ya kumalizika kwa Mfungo wa Mwezi Mtukufu wa Ramadhan
Bw. Hamdani Juma kutoka Jumuiya ya Wasomaji wa Tajweeed Zanzibar alipokuwa akisoma Quran Tukufu katika Sherehe za Baraza la Eid el fitri lililofanyika katika ukumbi wa Zamani wa Baraza la Wawakilishi, Kikwajuni Mjini Unguja katika kusherehekea Sikukuu ya Eid el Fitri iliyoanza leo baada ya kumalizika kwa Mfungo wa Mwezi Mtukufu wa Ramadhan
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Ali Mohamed Shein (kulia) aliopokuwa akitoa hutuba yake kwa Wananchi na Waislamu mbali mbali katika Sherehe za Baraza la Eid el fitri lililofanyika katika ukumbi wa Zamani wa Baraza la Wawakilishi, Kikwajuni Mjini Unguja katika kusherehekea Sikukuu ya Eid el Fitri iliyoanza leo baada ya kumalizika kwa Mfungo wa Mwezi Mtukufu wa Ramadhan
Baadhi ya Viongozi wa Serikali ya Mapinduzi na Wananchi mbali mbali wakisikiliza Hutuba ya sherehe za Baraza la Eid el fitri iliyosomwa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Ali Mohamed Shein (hayupo pichani ) katika ukumbi wa Zamani wa Baraza la Wawakilishi, Kikwajuni Mjini Unguja katika kusherehekea Sikukuu ya Eid el Fitri iliyoanza leo baada ya kumalizika kwa Mfungo wa Mwezi Mtukufu wa Ramadhan
Baadhi ya Wakuu wa Vikosi vya Ulinzi Zanzibar na waislamu mbali mbali wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Ali Mohamed Shein (hayupo pichani ) apokuwa akitoa hutuba yake katika sherehe za Baraza la Eid el fitri iliyoisoma katika ukumbi wa Zamani wa Baraza la Wawakilishi, Kikwajuni Mjini Unguja katika kusherehekea Sikukuu ya Eid el Fitri iliyoanza leo baada ya kumalizika kwa Mfungo wa Mwezi Mtukufu wa Ramadhan
Baadhi ya Mabalozi wa Nchi za kigeni na wawakilishi wa mashirika mbali mbali na Wananchi wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Ali Mohamed Shein (hayupo pichani ) alipokuwa akitoa hutuba yake ya sherehe za Baraza la Eid el fitri iliyosoma katika ukumbi wa Zamani wa Baraza la Wawakilishi, Kikwajuni Mjini Unguja katika kusherehekea Sikukuu ya Eid el Fitri iliyoanza leo baada ya kumalizika kwa Mfungo wa Mwezi Mtukufu wa Ramadhan
Baadhi ya Wananchi na Waislamu walioalikwa katika sherehe za Baraza la Eid el fitri wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Ali Mohamed Shein (hayupo pichani )alipokuwa akisoma Khutba ya Baraza hilo katika ukumbi wa Zamani wa Baraza la Wawakilishi, Kikwajuni Mjini Unguja katika kusherehekea Sikukuu ya Eid el Fitri iliyoanza leo baada ya kumalizika kwa Mfungo wa Mwezi Mtukufu wa Ramadhan
Viongozi mbali mbali wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Ali Mohamed Shein (hayupo pichani ) akitoa Hutuba ya sherehe za Baraza la Eid el fitri katika ukumbi wa Zamani wa Baraza la Wawakilishi, Kikwajuni Mjini Unguja katika kusherehekea Sikukuu ya Eid el Fitri iliyoanza leo baada ya kumalizika kwa Mfungo wa Mwezi Mtukufu wa Ramadhan
Makamo wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe,Mama Samia Suluhu Hassan (katikati) Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mwanamwema Shein,Mke wa Rais wa Kwanza wa Zanzibar Mhe .Mama Fatma Karume na Mkuu wa Mkoa wa Mjini Magharibi Mhe,.Ayoub Mohamed Mahmoud wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Ali Mohamed Shein (hayupo pichani ) akitoa khutba ya sherehe za Baraza la Eid el fitri aliyoisoma katika ukumbi wa Zamani wa Baraza la Wawakilishi, Kikwajuni Mjini Unguja katika kusherehekea Sikukuu ya Eid el Fitri iliyoanza leo baada ya kumalizika kwa Mfungo wa Mwezi Mtukufu wa Ramadhan
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Ali Mohamed Shein (kushoto ) alipokuwa akitoa khutba yake kwa Wananchi na Waislamu katika sherehe za Baraza la Eid el fitri aliyoisoma katika ukumbi wa Zamani wa Baraza la Wawakilishi, Kikwajuni Mjini Unguja katika kusherehekea Sikukuu ya Eid el Fitri iliyoanza leo baada ya kumalizika kwa Mfungo wa Mwezi Mtukufu wa Ramadhan
Baadhi ya Viongozi wa Serikali ya Mapinduzi na Wananchi mbali mbali wakisikiliza Hutuba ya sherehe za Baraza la Eid el fitri iliyosomwa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Ali Mohamed Shein (hayupo pichani ) katika ukumbi wa Zamani wa Baraza la Wawakilishi, Kikwajuni Mjini Unguja katika kusherehekea Sikukuu ya Eid el Fitri iliyoanza leo baada ya kumalizika kwa Mfungo wa Mwezi Mtukufu wa Ramadhan. Picha na Ikulu.
No comments:
Post a Comment