| Waziri Mahiga akitoa neno la shukrani kwa niaba ya Serikali na Wizara yake kwa ujumla mara baada ya kupokea msaada huo. |
| Waziri akiendelea kuongea huku Watumishi wa Wizara yake wakimsikiliza kwa makini. |
| Sehemu ya Watumishi wa Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki wakimsikiliza kwa makini Dkt. Mahiga na Balozi wa Oman |
| Sehemu ya Madereva wa Wizara nao walihudhuria shughuli hiyo ikiwa wao ndio waendeshaji wa Magari hayo. |
| Sehemu nyingine ya watumishi na wageni waliohudhuria shughuli hiyo. |
| Mkurugenzi Msaidizi wa Utawala akimkabidhi funguo za magari Afisa Usafirishaji wa Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Bw. Mkenda |
| Picha ya pamoja mara baada ya shughuli kumalizika. |
No comments:
Post a Comment