Tuesday, May 23, 2017

SIMU TV: HABARI KUTOKA TELEVISHENI

SIMU.TV: Wakazi wa eneo la Vingunguti wanaoishi kando ya mto Msimbazi jijini Dar es Salaam wameiomba serikali kunusuru maisha yao kutokana na maji ya mto huo kusomba nyumba zao. https://youtu.be/9o4_hG9dzWs

SIMU.TV: Rais Dr. John Pombe Magufuli amewahakikishia wafanyabishara na wawekezaji kutoka shirikisho la taifa la utengenzaji wa mitambo ya viwanda kutoka China kuwa serikali itawapa ushirikiano wa kutosha katika kuwekeza hapa nhini. https://youtu.be/Omcq06LUebQ

SIMU.TV: Serikali mkoani Ruvuma imemuagiza meneja wa TANESCO mkoani humo kutoa maelezo kutokana na kukatika kwa umeme mara kwa mara mkoani humo. https://youtu.be/K7aFYECodMo

SIMU.TV: Jeshi la kujenga taifa JKT limechagua vijana waliohitimu kidato cha sita mwaka huu kuhudhuria mafunzo ya jeshi hilo kuanzia tarehe 25 mwezi huu wa tano. https://youtu.be/I93XGVdnDCw

SIMU.TV: Serikali mkoani Mara imesema itawasaidia wajasiriamali wadogo kuendeleza viwanda vyao pamoja na kuvifufua viwanda vyote vilivyofungwa. https://youtu.be/X0bJo181iX4

SIMU.TV: Zaidi ya wakulima elfu tano wa mazao ya biashara kutoaka vyama vya msingi mkoani Iringa wameziomba taasisi za kibenki nchini kuangalia namna bora ya kuboresha mikopo kwa wakilima. https://youtu.be/yvYKVaGIzds

SIMU.TV: Mshindi wa shilingi milioni kumi katika droo ya saba ya BIKO Sospeter Muchunguzi amesema kuogopa kucheza BIKO ni kukaribisha umaskini. https://youtu.be/0nc0ibr94bA

SIMU.TV: Mwenyekiti wa klabu ya Yanga Yusuph Manji amethibitisha kujiuzulu nafasi yake ya uenyekiti na kumuachia aliyekuwa makamu wake. https://youtu.be/Bc1hluSTjJQ

SIMU.TV: Timu ya taifa ya vijana ya Serengeti boys inatarajiwa kuondoka nchini Gabon usiku huu kurejea nchini baada ya kuondoshwa kwenye michuano ya fainali za vijana barani Afrika. https://youtu.be/5IiRGtsYNDQ

SIMU.TV: Kampuni ya michezo ya kubahatisha ya Sportpesa leo imetiliana saini na klabu ya Singida United ili kuidhamini klabu hiyo kwa muda wa mwaka mmoja. https://youtu.be/JiT0ryiM3Qk

SIMU.TV: Timu ya taifa ya Senegal imeanza vyema kwa michuano ya kombe la dunia kwa vijana baada ya kuichapa Saudi Arabia magoli mawili kwa sifuri. https://youtu.be/OsMaB6Dno88

SIMU.TV: Raimondi Bintabara amefanikiwa kushinda shilingi milioni 109 kwenye mchezo wa bahati na sibu baada ya kubashiri matokeo ya michezo 12. https://youtu.be/0ttM7p-Rqxk

Tanzania leo inatarajia kuungana na mataifa mengine duniani kuadimisha siku ya ugonjwa wa fistula duniani. https://youtu.be/My3fcPUm39k

Zaidi ya ng’ombe 4052 wameondolewa katika vyanzo vya maji kama sehemu ya kudhibiti uharibifu wa mazingira mkoani Katavi; https://youtu.be/7rTqDBZ0Zz0

Inaelezwa kuwa ajali nyingi za pikipiki mkoani Tabora zinasababishwa na vijana wengi kutozingatia sheria za usalama barabarani; https://youtu.be/Pe4wKVdkbnc

Fuatilia kwa kina mahojiano ya mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam Paul Makonda kuhusu changamoto za kimaendeleo mkoani Dar es Salaam; https://youtu.be/qzPyMEJ7Rg0

Je, ni lini serikali itiapandisha hadhi barabara ya  Mtili mpaka Mpangatazara ? Hapa naibu waziri wizara ya ujenzi anatoa ufafanuzi. https://youtu.be/MCHgpJI9baE

Je, ni lini serikali itakamilisha ujenzi wa barabara kutoka kibaoni hadi mkoani Sonwge ? hapa naibu waziri anatoa ufafanuzi. https://youtu.be/a0SIzk525A0

Ufafanuzi wa serikali kutoka kwa naibu waziri wizara ya elimu kuhusu shirika lisilo la kiserikali kujenga chuo cha ufundi katika kata ya Chuma. https://youtu.be/xKBjbwJ0tvI

Waziri wa mambo ya ndani Mhe.Nchemba akifafanua kuhusu malipo ya askari polisi wanaohamishwa vituo vyao vya kazi. https://youtu.be/pWsS-x4pw8o

Je, serikali ina mpango gani wa kushirikiana na halmashauri ya wilaya ya Ukerewe kuboresha vituo vinavyopatikana wilayani humo? hapa naibu waziri anatoa ufafanuzi. https://youtu.be/zoTuX-iWGXM

Je, ni vijana wangapi waliojiunga na jeshi la kujenga taifa kwa miaka 3 iliyopita? hapa waziri Mh. Hussein Mwinyi anatoa ufafanuzi. https://youtu.be/KFb9gNh4mgo

je, serikali imejipanga vipi kukabiliana na tatizo la uvuvi haramu nchini? Hapa naibu waziri Mh. Ole Nasha anatoa kufafanuzi. https://youtu.be/1CRPBMU3eRY




No comments: