Monday, May 29, 2017

MKUTANO WA BARAZA KUU LA CHADEMA WAFANYIKA MJINI DODOMA


 MWENYEKITI wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Mhe. Freeman Mbowe akifungua mkutano wa Baraza Kuu la Chama hicho mjini Dodoma Jumamosi.
 Katibu Mkuu wa CHADEMA, Dk Vincent Mashinji akizungumza
 Meza kuu
 Mwenyekiti wa CHADEM, Freeman Mbowe akisoma taarifa za chama. 

 Wajumbe wa Baraza Kuu wakiwa katika Mkutano huo mjini Dodoma 
 Wajumbe wakiimba Wimbo wa Taifa 
 Dua ilifanyika kabla ya kuanza mkutano huo.
 Wajumbe wakiwa mkutanoni
 Wajumbe ambao ni Wabunge wa Viti Maalum kutoka Mkoa wa Dodoma, Dk Immaculate Sware (kushoto) na Devotha Minja wa Morogoro. Picha zote na Mroki Mroki.

No comments: