Tuesday, May 2, 2017

Lake Cement inalinda mazingira ya wananchi wa Kimbiji –Katemba

Mkurugenzi wa Manispaa ya Kigamboni, Stephen Katemba akizungumza na wafanyakazi mara baada kutembelea kiwanda hicho katika siku ya wafanyakazi na kushiriki shughuli mbalimbali ikwemo ya upandaji jijini Dar es Salaam.
Afisa Utumishi wa Manispaa ya Kigamboni, Cosmas Hinju akizungumza wakati wa shughuli ya upandaji miti katika kiwanda cha Lake Cement jijini Dar es Salaam.
Makamu wa Rais wa Lake Cement, Afroz Ansary akizungumza juu ya udhamini wa shughuli mbalimbali zinazofanywa na kiwanda hicho.
Meneja Rasilamali Watu wa Lake Cement, Julieth Domel akizungumza juu jinsi wanavyoshugulika na wafanyakazi wa kiwanda kwa kufuata sheria za Kazi. 
Wananchi wakiangalia fainali ya Kata ya Kimbiji iliyodhaminiwa na Lake Cement jijini Dar es Salaam.

No comments: