Mabalozi
wa Kundi la Mtandao wa Kijamii wa Whatsaap la Saratani Info wakiwa
katika Hospitali ya Rufaa ya KCMC tayari kutembelea kitengo cha Saratani
katika Hospitali ya Rufaa ya KCMC.
Mabalozi
wa Kundi la Mtandao wa Kijamii wa Whatsaap la Saratani Info wakiwa
wamebeba zawadi mbalimbali kwa ajili ya kutoa kwa wagonjwa wa Saratani
katika Hosptali ya Rufaa ya KCMC.
Mkuu
wa Kitengo cha Saratani katika Hospitali ya Rufaa ya KCMC,Dkt Furaha
Silventi akizungumza na mabalozi wa kundi la Saratani Info lilipotmbelea
kitengo hicho.
Mkuu
wa Kitengo cha Saratani katika Hospitali ya Rufaa ya KCMC,Dkt Furaha
Silventi akizungumza na mabalozi wa kundi la Saratani Info lilipotmbelea
kitengo hicho,kulia kwake ni Kiongozi wa Mabalozi hao kanda ya
Kaskazini,Veri Njau na kushot ni Mratibu katika kitengo hicho Everlyn
Ndosi.
Kiongozi
wa Kundi la Mabalozi wa Saratani la Saratani Info kanda ya
Kaskazini,Veri Njau akizungumza na baadhi ya wagonjwa pamoja na mabalozi
hao baada ya kuwatembelea katika kituo cha Saratani ,KCMC.
Baadhi
ya wagonjwa wa Saratani wanaopatiwa matibabu katika kitengo cha
Saratani ,Hospitali ya Rufaa ya KCMC ambao kundi la Mabalozi wa ugonjwaa
huo liliwatembelea na kutoa msaada wa gharama za Bima ya Afya kwa
watoto nane (8).
Mabalozi wa Ugonjwa wa Saratani wakitembelea katika maeneo mbalimbali ya kitengo cha Saratani katika Hospitali ya Rufaa ya KCMC.
Mmoja
wa Mabalozi wa Ugonjwa wa Saratani wa kundi la mtandao wa WhatsApp la
Saratani Info ,Respicius Baitwa akizungumza kabla ya kukabidhi fedha kwa
ajili ya Bima za Afya kwa wagonjwa wa Saratani nane wanaopata matibabu
katika kituo hicho.
Mkuu
wa Kitengo cha Saratani katika Hospitali ya Rufaa ya KCMC,Dkt Furaha
Silventi akitoa neno la shukurani baada ya Mabalozi wa Kundi la WhatsApp
la Saratani Info kukabidhi msaada wa fedha kwa ajili ya Bima za Afya
kwa watoto nane wanaopata matibabu katika kitengo hicho.
Baadhi
ya Mabalozi wa Saratani waliotembelea kitengo cha Saratani katika
Hospitali ya Rufaa ya KCMC kuwaona wagonjwa wa Saratani wanaopata
matibabu katika Hospitai hiyo.
Na Dixon Busagaga wa Globu ya Jamii Kanda ya Kaskazini.
No comments:
Post a Comment