Katibu
Mkuu Wizara ya Afya,Maendeleo ya Jamii,Jinsia,Wazee na Watoto (Idara
Kuu ya Maendeleo ya Jamii)Bi. Sihaba Nkinga akisaini kitabu cha Wageni
alipofika katika kijiji cha Watoto kinachosimamiwa na Shirika
linalohudumia watoto wenye uhitaji katika malezi na elimu (SOS Children
Villages) lililopo Ngaramtoni Mkoani Arusha.
Mkurugenzi
wa Shirika linalohudumia watoto wenye uhitaji katika malezi na
elimu-SOS Children Villages Tanzania Bw.Anatory Rugaimukamu akimueleza
jambo Katibu Mkuu Wizara ya Afya,Maendeleo ya Jamii,Jinsia,Wazee na
Watoto (Idara Kuu ya Maendeleo ya Jamii)Bi. Sihaba Nkinga wakati wa
ziara ya kuangalia namna shirika hilo linavyofanya kazi.
Mkurugenzi
wa Shirika linalohudumia watoto wenye uhitaji katika malezi na
elimu-SOS Children Villages Tanzania Mkoa wa Arusha Bw.Francis Msollo
(kulia) akimueleza Katibu Mkuu Wizara ya Afya,Maendeleo ya
Jamii,Jinsia,Wazee na Watoto (Idara Kuu ya Maendeleo ya Jamii)Bi. Sihaba
Nkinga namna shirika hilo lilivyofanikisha kutimiza ndoto za vijana
wengi waliolelewa kituoni hapo Katikati ni Mkurugenzi wa Shirika hilo
Tanzania Bw.Anatory Rugaimukamu.
Katibu
Mkuu Wizara ya Afya,Maendeleo ya Jamii,Jinsia,Wazee na Watoto (Idara
Kuu ya Maendeleo ya Jamii)Bi. Sihaba Nkinga (kushoto) akiongea na
viongozi wa Shirika linalohudumia watoto wenye uhitaji katika malezi na
elimu-SOS Children Villages Tanzania na kuwapongeza kwa jitihada
wanazozifanya katika kuhakikisha wanakuza watoto na kutimiza ndoto
zao,katikati ni Mkurugenzi wa Shirika hilo Tanzania Bw.Anatory
Rugaimukamu na kulia ni Mkurugenzi wa Shirika Mkoa wa Arusha Bw.Francis
Msollo.
Baadhi
ya watoto wakiwa katika shule iliyo ndani ya Kijiji cha Watoto chini ya
shirika linalohudumia watoto wenye uhitaji katika malezi na elimu-SOS
Children Villages Tanzania
Katibu
Mkuu Wizara ya Afya,Maendeleo ya Jamii,Jinsia,Wazee na Watoto (Idara
Kuu ya Maendeleo ya Jamii)Bi. Sihaba Nkinga(wa Pili kutoka kushoto)
Mkurugenzi Maendeleo ya watoto Margaret Mussai(wa Pili kutoka kulia),
Mkurugenzi wa Shirika linalohudumia watoto wenye uhitaji katika malezi
na elimu-SOS Children Villages Tanzania Bw.Anatory Rugaimukamu (wa
kwanza kulia) na Mkurugenzi wa Shirika SOS Children Villages Tanzania
Mkoa wa Arusha Bw.Francis Msollo (kulia) wakienda kuangalia makazi
katika kijiji cha watoto.
Katibu
Katibu Mkuu Wizara ya Afya,Maendeleo ya Jamii,Jinsia,Wazee na Watoto
(Idara Kuu ya Maendeleo ya Jamii)Bi. Sihaba Nkinga akiteta jambo na
watoto katika kijiji cha watoto kilicho chini ya Shirika la SOS Children
Villages alipofanya ziara katika shirika hilo leo Ngaramtoni Mkoani
Arusha
Mama
Mlezi katika kijiji cha watoto kilicho chini ya Shirika la SOS Children
Villages Bi. Cylichelia Byabato akimuonesha Katibu Katibu Mkuu Wizara
ya Afya,Maendeleo ya Jamii,Jinsia,Wazee na Watoto (Idara Kuu ya
Maendeleo ya Jamii)Bi. Sihaba Nkinga sehemu ya malazi ya watoto katika
Kijiji hicho leo Ngaramtoni Mkoani Arusha.
Katibu
Katibu Mkuu Wizara ya Afya,Maendeleo ya Jamii,Jinsia,Wazee na Watoto
(Idara Kuu ya Maendeleo ya Jamii)Bi. Sihaba Nkinga akifurahia jambo na
watoto katika kijiji cha watoto kilicho chini ya Shirika la SOS Children
Villages alipofanya ziara katika shirika hilo leo Ngaramtoni Mkoani
Arusha
Katibu
Katibu Mkuu Wizara ya Afya,Maendeleo ya Jamii,Jinsia,Wazee na Watoto
(Idara Kuu ya Maendeleo ya Jamii)Bi. Sihaba Nkinga akila chakula cha
mchana na watoto katika kijiji cha watoto kilicho chini ya Shirika la
SOS Children Villages alipofanya ziara katika shirika hilo leo
Ngaramtoni Mkoani Arusha.
Katibu
Katibu Mkuu Wizara ya Afya,Maendeleo ya Jamii,Jinsia,Wazee na Watoto
(Idara Kuu ya Maendeleo ya Jamii)Bi. Sihaba Nkinga akitoa boksi la
sabuni kwa mlezi wa moja ya familia inayoongoza na vijana Leo Mkoani
Arusha.
Katibu
Katibu Mkuu Wizara ya Afya,Maendeleo ya Jamii,Jinsia,Wazee na Watoto
(Idara Kuu ya Maendeleo ya Jamii)Bi. Sihaba Nkinga akiteta jambo na
vijana wawili wanaoongoza familia ambapo aliwapongeza kwa hatua
wanazozifanya katika kuisimamia familia.
No comments:
Post a Comment