Wednesday, April 12, 2017

RAIS DKT MAGUFULI AWEKA JIWE LA MSINGI LA UJENZI WA RELI YA KISASA STANDARD GAUGE



 Rais wa Jamhuriya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akilakiwa na Mwenyekiti  wa bodi ya TRL, Profesa John Kondoro alipowasili Pugu katika  sherehe ya kuweka jiwe la msingi kuzindua ujenzi wa reli ya kisasa ya standard gauge kutoka jijini Dar es alaam hadi mkoani Morogoro leo Aprili 12, 2017. kulia ni Kaimu Mtendaji Mkuu wa RAHCO Masanja Kadogosa 
  Rais wa Jamhuriya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akilakiwa na Kamanda wa Polisi Kanda Maalumu ya Dar es salaam Simon Sirro alipowasili Pugu katika  sherehe ya kuweka jiwe la msingi kuzindua ujenzi wa reli ya kisasa ya standard gauge kutoka jijini Dar es alaam hadi mkoani Morogoro leo Aprili 12, 2017. 
  Rais wa Jamhuriya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akilakiwa na kwa shangwe wakati akiwasili  katika  sherehe ya kuweka jiwe la msingi kuzindua ujenzi wa reli ya kisasa ya standard gauge kutoka jijini Dar es alaam hadi mkoani Morogoro leo Aprili 12, 2017. 
 Rais wa Jamhuriya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akisalimiana na mwakilishi wa Ubalozi wa Uturuki nchini  alipowasili katika  sherehe ya kuweka jiwe la msingi kuzindua ujenzi wa reli ya kisasa ya standard gauge kutoka jijini Dar es alaam hadi mkoani Morogoro leo Aprili 12, 2017. 
  Rais wa Jamhuriya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akisalimia wananchi  alipowasili katika  sherehe ya kuweka jiwe la msingi kuzindua ujenzi wa reli ya kisasa ya standard gauge kutoka jijini Dar es alaam hadi mkoani Morogoro leo Aprili 12, 2017. 
 Meza kuu ikiwa imesimama wakati Wimbo wa Taifa ukipigwa
 Wahandisi washauriwa mradi wakisimama wakati Wimbo wa Taifa ukipigwa
 Wananchi wakiwa wamesimama wakati Wimbo wa Taifa ukipigwa
 Wadau wa mradi na wageni mbalimbali kwenye sherehe hizo
 Wadau wa mradi na wageni mbalimbali kwenye sherehe hizo
 Wadau wa mradi na wageni mbalimbali kwenye sherehe hizo
 Wadau wa mradi na wageni mbalimbali kwenye sherehe hizo
 Wadau wa mradi na wageni mbalimbali kwenye sherehe hizo
 Wadau wa mradi na wageni mbalimbali kwenye sherehe hizo
 Wadau wa mradi na wageni mbalimbali kwenye sherehe hizo
 Msanii Mrisho Mpoto akitumbuiza kwenye sherehe hizo
 Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Mhe. Paul Makonda akitambulisha wadau mbalimbali
 Wadau wa mradi na wageni mbalimbali kwenye sherehe hizo
 Wadau wa mradi na wageni mbalimbali kwenye sherehe hizo
 Wananchi wakiwa kwenye sherehe hizo
 Ulinzi  kwenye sherehe hizo
 Wananchi
 Kikozi kazi cha TBC kikirekodi na kurusha mubashara tukio hilo la kihistoria
 Rais Dkt Magufuli akimpongeza Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Mhe. Paul Makonda kwa hotuba fupi ya utambulisho
 Mkuu wa Mkoa wa Morogoro Mhe Stephen Kebwe  akitambulishwa
 Mwenyekiti wa kamati ya kudumu ya Bunge ya Maendeleo ya Miundombinu Mhe.Prof Richard Sigalla akitambulishwa
 Mwenyekiti wa Kamati ya Bajeti Mhe Hawa Ghasia akitambulishwa
 First Secretary wa Ubalozi wa Uturuki nchi akitambulishwa
Kaimu Mtendaji Mkuu wa RAHCO Masanja Kadogosa  akitambulishwa
 tendaji Mkuu wa Wakala wa Barabara TANROADS na Mwenyekiti wa kamati maalumu ya uhandisi ya mradi huo Eng. Patrick Mfugale akisoma muhtasari
 Wajumbe wa kamati maalumu ya uhandisi wa mradi
  Wajumbe wa kamati maalumu ya uhandisi wa mradi wakimpugia Rais baada ya kutambulishwa
  Mkurugenzi Mtendaji wa TRL Nd Masanja Kadogosa akiongea 
 Mkurugenzi Mkuu wa kampuni ya Uturuki inayojenga reli hiyo akiongea
 Sehemu ya wadau, mabalozi na waalikwa wengine
 Viongozi wa wilaya za Dar es salaam, wadau na waalikwa wengine
 Viongozi na wadau wa mradi
 Wadau wa mradi
 Wadau wa mradi
 Viongozi wa Wilaya ya Ilala na wadau wa mradi
 Wanahabari, viongozi na wadau wa mradi
 Wadau mbalimbali wa mradi
 Sehemu ya wafanyakazi wa mradi
 Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano, Profesa Makame Mbarawa akisomammuhtasari wa mradi kabla ya kumkaribishwa Rais Dkt Magufuli kuongea na wananchi
Mufti wa Tanzania, Sheikh Abubakar Zubeir akiwa pamoja na wadau wa mradi
Mnadhimu Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi Tanzania Luteni Jenerali James Mwakibolwa  akiwa jukwa kuuna  viongozi mbalimbali
Rais Dkt Magufuli akimtambulisha mwakilishi mkazi wa Benki ya Dunia Bi. Bella Bird 
  Rais wa Jamhuriya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akihutubua Taifa  katika  sherehe ya kuweka jiwe la msingi kuzindua ujenzi wa reli ya kisasa ya standard gauge kutoka jijini Dar es alaam hadi mkoani Morogoro
 Rais wa Jamhuriya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akihutubua Taifa  katika  sherehe ya kuweka jiwe la msingi kuzindua ujenzi wa reli ya kisasa ya standard gauge kutoka jijini Dar es alaam hadi mkoani Morogoro
 Rais wa Jamhuriya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akihutubua Taifa  katika  sherehe ya kuweka jiwe la msingi kuzindua ujenzi wa reli ya kisasa ya standard gauge kutoka jijini Dar es alaam hadi mkoani Morogoro
 Wananchi wakimshangilia Rais wa Jamhuriya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akihutubua Taifa  katika  sherehe ya kuweka jiwe la msingi kuzindua ujenzi wa reli ya kisasa ya standard gauge kutoka jijini Dar es alaam hadi mkoani Morogoro
 Rais wa Jamhuriya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akihutubua Taifa  katika  sherehe ya kuweka jiwe la msingi kuzindua ujenzi wa reli ya kisasa ya standard gauge kutoka jijini Dar es alaam hadi mkoani Morogoro
 Rais wa Jamhuriya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akikaribishwa na Kaimu Mtendaji Mkuu wa RAHCO Masanja Kadogosa kwenda  kuweka jiwe la msingi kuzindua ujenzi wa reli ya kisasa ya standard gauge kutoka jijini Dar es alaam hadi mkoani Morogoro
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na Waziri wa Ujenzi Uchukuzi na Mawasiliano Profesa Makame Mbarawa pamoja na Mkewe Mama Janeth Magufuli akikata utepe kuashiria uzinduzi wa Ujenzi wa Reli ya Kisasa Standard Gauge itakayoanzia jijini Dar es Salaam hadi mkoani Morogoro na baadaye kuendelea hadi mikoa ya Kigoma na Mwanza.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na Waziri wa Ujenzi Uchukuzi na Mawasiliano Profesa Makame Mbarawa akiweka jiwe la msingi Ujenzi wa Reli ya Kisasa Standard Gauge itakayoanzia jijini Dar es Salaam hadi mkoani Morogoro na baadaye kuendelea hadi Kigoma na Mwanza.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiangalia majina ya baadhi ya wataalamu mbalimbali waliohusika katika mchakato wa Ujenzi huo wa Reli ya Kisasa Standard Gauge itakayoanzia jijini Dar es Salaam hadi mkoani Morogoro na baadaye kuendelea hadi Kigoma na Mwanza. Wakwanza kulia ni Kaimu Mkurugenzi Mtendaji wa kampuni hodhi ya Rasilimali za Reli (RAHCO) Masanja Kadogosa akiwa ameshika majina hayo.
Mke wa Rais Mama Janeth Magufuli akichota mchanga na kuweka kama ishara ya kushiriki katika ujenzi huo wa Reli ya Kisasa Standard Gauge itakayoanzia jijini Dar es Salaam hadi mkoani Morogoro na baadaye kuendelea hadi Kigoma na Mwanza.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiangalia kibao cha jiwe la msingi cha Ujenzi wa Reli ya Kisasa Standard Gauge itakayoanzia jijini Dar es Salaam hadi mkoani Morogoro na baadaye kuendelea hadi Kigoma na Mwanza.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na Waziri wa Ujenzi Uchukuzi na Mawasiliano Profesa Makame Mabarawa, Mama Janeth Magufuli wakimsikiliza Kaimu Mkurugenzi Mtendaji wa RAHCO Masanja Kadogosa wakati akielezea kuhusu ujenzi wa Reli ya Kisasa Standard Gauge itakayoanzia jijini Dar es Salaam hadi mkoani Morogoro na baadaye kuendelea hadi Kigoma na Mwanza.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa amechuchumaa kwenye mfano wa Reli ya Kisasa (SGR) na Waziri wa Ujenzi Uchukuzi na Mawasiliano Profesa Makame Mabarawa, Kaimu Mkurugenzi Mtendaji wa RAHCO Masanja Kadogosa, Mwenyekiti wa Kamati  ya Kudumu ya Miundombinu Profesa Norman Sigala mara baada ya kuweka jiwe la msingi la ujenzi wa Reli hiyo, wengine katika picha ni Mke wa Rais Mama Janeth Magufuli pamoja na Hawa Ghasia (Mb).

  Rais wa Jamhuriya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akikata utepe kuashiria  kuweka jiwe la msingi kuzindua ujenzi wa reli ya kisasa ya standard gauge kutoka jijini Dar es alaam hadi mkoani Morogoro
  Rais wa Jamhuriya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akipata maelezo wakati wa kuzindua ujenzi wa reli ya kisasa ya standard gauge kutoka jijini Dar es alaam hadi mkoani Morogoro
  Rais wa Jamhuriya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akipata maelezo wakati wa kuzindua ujenzi wa reli ya kisasa ya standard gauge kutoka jijini Dar es alaam hadi mkoani Morogoro
  Rais wa Jamhuriya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akiweka sarafu kwenye kikasha maalumu wakati wa kuzindua ujenzi wa reli ya kisasa ya standard gauge kutoka jijini Dar es alaam hadi mkoani Morogoro
  Rais wa Jamhuriya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akiweka kibati juunya jiwe la msingi wakati wa kuzindua ujenzi wa reli ya kisasa ya standard gauge kutoka jijini Dar es alaam hadi mkoani Morogoro
  Rais wa Jamhuriya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akipata maelezo ya mradi wakati wa kuzindua ujenzi wa reli ya kisasa ya standard gauge kutoka jijini Dar es alaam hadi mkoani Morogoro
  Rais wa Jamhuriya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli na Mama Janeth Magufuli na viongozi wengine akikata utepe kuashiria kuzindua ujenzi wa reli ya kisasa ya standard gauge kutoka jijini Dar es alaam hadi mkoani Morogoro
 Rais wa Jamhuriya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli na Mama Janeth Magufuli na viongozi wengine akikata utepe kuashiria kuzindua ujenzi wa reli ya kisasa ya standard gauge kutoka jijini Dar es alaam hadi mkoani Morogoro
 Rais wa Jamhuriya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuliakipita juu ya mfano wa reli baada ya kuzindua ujenzi wa reli ya kisasa ya standard gauge kutoka jijini Dar es alaam hadi mkoani Morogoro
 Rais wa Jamhuriya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akikagua sehemu ya reli baada ya kuzindua ujenzi wa reli ya kisasa ya standard gauge kutoka jijini Dar es alaam hadi mkoani Morogoro


 Rais wa Jamhuriya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akipungia wananchi  baada ya kuzindua ujenzi wa reli ya kisasa ya standard gauge kutoka jijini Dar es laam hadi mkoani Morogoro

 Rais wa Jamhuriya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akipungia wananchi  baada ya kuzindua ujenzi wa reli ya kisasa ya standard gauge kutoka jijini Dar es laam hadi mkoani Morogoro
 Rais wa Jamhuriya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli na meza kuu katikapicha ya pamoja na mabalozi wa nchi mbalimbali za Afrika  baada ya kuzindua ujenzi wa reli ya kisasa ya standard gauge kutoka jijini Dar es laam hadi mkoani Morogoro
 Rais wa Jamhuriya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli na meza kuu katika picha ya pamoja na wahandisi wa mradi  baada ya kuzindua ujenzi wa reli ya kisasa ya standard gauge kutoka jijini Dar es laam hadi mkoani Morogoro
  Rais wa Jamhuriya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli na meza kuu katika picha ya pamoja na viongozi wa Wizara na wahandisi baada ya kuzindua ujenzi wa reli ya kisasa ya standard gauge kutoka jijini Dar es laam hadi mkoani Morogoro
  Rais wa Jamhuriya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuliakifurahia jambo na Mufti Mkuu wa Tanzania  baada ya kuzindua ujenzi wa reli ya kisasa ya standard gauge kutoka jijini Dar es laam hadi mkoani Morogoro
  Rais wa Jamhuriya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli na meza kuu katika picha ya pamoja na viongozi wa dini na wadau wa mradi baada ya kuzindua ujenzi wa reli ya kisasa ya standard gauge kutoka jijini Dar es laam hadi mkoani Morogoro
  Rais wa Jamhuriya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli na meza kuu katika picha ya pamoja na timu ya uhandisi wa mradi baada ya kuzindua ujenzi wa reli ya kisasa ya standard gauge kutoka jijini Dar es laam hadi mkoani Morogoro
 Rais wa Jamhuriya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli na meza kuu katika picha ya pamoja na Wahandisi washauru wa mradi  baada ya kuzindua ujenzi wa reli ya kisasa ya standard gauge kutoka jijini Dar es laam hadi mkoani Morogoro

No comments: