
Aliyekuwa Katibu wa Jumuia ya Wazazi mkoa wa Dar es Salaam, Stanley Mkandawile ambaye sasa ameteuliwa kuwa Katibu wa CCM wilaya ya Lindi Mjini, akizungumza maneno ya Utangulizi, baada ya kupokewa na Mwangalizi Msaidizi wa Kituo cha Kulea Wazee wasiojiweza kilichopo Msimbazi Centre, Dar es Salaam, Sista Angelina (kushoto), wakati viongozi mbalimbali wa Jumuia hiyo walipofika kwenye kituo hichp ili kusalimia wazee haoa na pia kuwazazidia vitu mbalimbali ikiwemo nguo, ikiwa ni sehemu za kuanza maadhimisho ya Siku ya Jumuia ya Wazazi ambayo kilele chake kitakuwa Machi 8, 2017 mjini Bukoba. Kulia ni Katibu wa CCM wilaya ya Ilala Lugano Mwafongo

Wakiendelea kufanya utambulisho

Msimamizi wa Kituo cha Kutunza Wazee wasiojiweza cha Msimbazi Centre, Sista Wilibroda Mangwangi akisalimiana na Mkandawile alipowasili ili kkabidhiwa misaada

Msimamizi wa Kituo cha Kutunza Wazee wasiojiweza cha Msimbazi Centre, Sista Wilibroda Mangwangi akisalimiana na Katibu wa Jumuia ya Wazazi Ilala Lugano Mwafongo,

Msimamizi wa Kituo cha Kutunza Wazee wasiojiweza cha Msimbazi Centre, Sista Wilibroda Mangwangi akiendelea kusalimia

Msimamizi wa Kituo cha Kutunza Wazee wasiojiweza cha Msimbazi Centre, Sista Wilibroda Mangwangi akiendelea kusalimia

Msimamizi wa Kituo cha Kutunza Wazee wasiojiweza cha Msimbazi Centre, Sista Wilibroda Mangwangi akiendelea kusalimia

Msimamizi wa Kituo cha Kutunza Wazee wasiojiweza cha Msimbazi Centre, Sista Wilibroda Mangwangi akiendelea kusalimia

Masista hao wakapiga picha ya kumbukumbi na baadhi ya viongozi hao

Picha ya pamoja msafara mzima na masista hao

Mwafongo akizungumza tayari kuanza kukabidhi misaada kwa Sista huyo

Viongozi waakanza kumkbidhi zawadi.Wapili kushoto ni Mkandawile na furushi la nguo

Akakabidhi

Kukabidhi kukaendela

Kukabidhi kukaendelea

Mkandawile akimsalimia mmoja wa Wazee wanaolelewa kwenye kituo hicho

Naam wakimsalimia kwa bashasha

CCM Oiyeee, Wakamwambia

Wakimsalimia Mzee mwingine mwenye umri unaokadiriwa kuwa tisini ambaye analelewa na kituo hicho

Wakampa zawadi

Byeee, Mkandawile akimuaga Mzee huyo

Karibuni jena jamami. Mzee kwenye kituo hicho akisema

Kila mmoja akijitahidi kuwaliwaza wazee hao. mwishoni Viongozi hao wameagidi kujikusanya na kutoa msaada wa dawa kwa ajili ya wazee kwenye kituo hicho. PICHA ZOTE NA BASHIR NKOROMO
No comments:
Post a Comment