Waziri
wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Mhe. Balozi Dkt.
Augustine Mahiga akifafanua jambo alipokutana na Rais wa Mahakama ya
Afrika ya Haki za Binadamu na Watu Jaji Sylvain Ore yenye Makao Makuu
Jijini Arusha,Tanzania. Katika mazungumzo yao yaliyofanyika Ofisini kwa
Mhe. Wiziri Mahiga mjini Dodoma, wamejadili masuala mbalimbali ya
kuboresha miundombinu ya mahakama hiyo ikiwemo majengo ya ofisi ili
kuiongezea ufanisi zaidi.
Mazungumzo
yakiendelea; Kushoto ni Wafanyakazi wa Mahakama ya Afrika ya Haki za
Binadamu na Watu na kulia kwa Rais wa Mahakama, ni Mtumishi wa Wizara
Bw. Beatus Kalumuna
Waziri
wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Mhe. Balozi Dkt.
Augustine Mahiga akiwa katika picha na Rais wa Mahakama ya Afrika ya
Haki za Binadamu na Watu Jaji Sylvain Ore mara baada ya mazungumzo
Waziri Mhe. Mahiga akiongea na wanahabari (hawapo pichani) mara baada ya mazungumzo
Rais
wa Mahakama ya Afrika ya Haki za Binadamu na Watu Jaji Sylvain Ore
akizungumza na waandishi wa habari mara baada ya mazungumzo
No comments:
Post a Comment