Mkurugenzi wa Idara ya Maendeleo ya Michezo, Yusuph Omari akizungumza wakati wa ufunguzi wa mafunzo na Warsha ya Wanahabari za michezo juu ya maadili ya utangazaji kwenye radio na Televisheni na kuzingatia taaluma
Mwandishi wa habari mkongwe kutoka kituo cha Azam Televisheni , Baruani Muhuza akitoa somo kwa wanahabari hao walifika katika mkutano huo juu ya umuhumu wa weledi wa taaluma
Mkurugenzi mtendaji wa makampuni ya Superdoll, Jamal Baiser akizungumza wakati wa mafunzo hayo kwa watangazaji wa waandishi wa habari za michezo
Evance Mhando akichangia mada katika mkutano huo ambao uliweza kuwajenga watangazaji kufuata weledi
Mwalimu Alex Kashasha akitoa mada juu ya kuwaleta wasikilizaji na watazamaji kuwa sehemu ya watu waliopo uwanjani pasipo kusababisha mfarakano wa moyo na kulaumu marefa na wachezaji kutokana na aina ya utangazaji tulionao sasa
Baadhi ya washiriki wa Semina hiyo wakifatilia kwa makini masomo yalikuwa yakitolewa katika mafunzo hayo
Baadhi ya washiriki wa Semina hiyo wakifatilia kwa makini masomo yalikuwa yakitolewa katika mafunzo hayo
Msemaji wa shirikisho la Soka nchini ,Alfred Lucas Mapunda akizungumza na juu ya watangazaji kusomana kufuata kanuni za ligi kuu ya Vodacom Tanzania bara na mashindano mengine hili kuweza kuwa na majibu sahii pindi wanapokuwa wanatangaza mpira
Mkurugenzi Mtendaji wa makampuni ya Superdol , Jamal Baiser akikabidhi zawadi kwa Mkurugenzi wa Idara ya Maendeleo ya Michezo, Yusuph Omari ambaye alimwakilisha waziri wa haabri Vijana utamaduni na Michezo Nape Nnauye
No comments:
Post a Comment