Saturday, March 18, 2017

SIMU TV: YALIYOJIRI KATIKA VITUO MBALIMBALI VYA TELEVISHENI LEO

Tanzania imekubali ombi la kuwapatia Kenya madktari 500 kwa ajili ya kutatua changamoto inayowakabili ya upungufu wa madaktari; https://youtu.be/IyR-VB3TZfo

Waziri wa afya ametoa wito kwa madaktari wa hospitali binafsi hapa nchini kuwasilisha maombi ya kazi za udaktari katika wizara ya afya: https://youtu.be/b6GvwuKkPA0

Mwanasheria maarufu Tundu Lissu ameibuka kidedea baada ya kuchaguliwa kuwa rais wa chama cha wanasheria Tanganyika: https://youtu.be/jra9-E3OiME

Mfalme Muswati wa Swaziland amefungua mkutano wa dharula wa SADC kwa ajili ya kujadili utendaji kazi wa mambo mbalimbali ya jumuiya hiyo: https://youtu.be/2hyPByAaI-I

Timu ya Yanga imetupwa nje katika kombe la klabu bingwa barani Afrika baada ya kutoka sare na timu ya Zanaco ya nchini Zambia; https://youtu.be/Ta49Eizzbtk

Baada ya Zanzibar kupata uanachama wa CAF serikali imesema sasa nguvu zote zitaelekezwa katika kuboresha viwanja vya soka: https://youtu.be/iPMNg_C2iqQ

Jeshi la polisi jijini Dar es Salaam limesema limewakamata baadhi ya wakazi wa mabondeni waliokaidi kuondoka katika maeneo hayo; http://simu.tv/O36c8eP

Wawekezaji wa ndani na nje ya nchi wametakiwa kujitokeza kuwekeza katika sekta ya viwanda ili kukuza uchumi wa  nchi; http://simu.tv/fOExJd5

Jeshi la magereza  linatarajia kupata matrekta 50 yatakayokuwa ya kwanza kutengeneza na kiwanda cha kuunganisha matrekta cha Mlandizi; http://simu.tv/PA8GEgX

Wachimbaji wadogo wa dhahabu Mpanda waandamana mpaka ofisi ya mkuu wa wilaya kujua hatma yao baada ya mgodi kufungwa kwa muda wa siku 7; http://simu.tv/dzRziic

Jeshi la polisi jijini Dar es Salaam limesema limewakamata baadhi ya wakazi wa mabondeni waliokaidi kuondoka katika maeneo hayo; https://youtu.be/P3zXMwLc3kI

wawekezaji wa ndani na nje ya nchi wametakiwa kujitokeza kuwekeza katika sekta ya viwanda ili kukuza uchumi wa  nchi; https://youtu.be/D18x32lr14o

Jeshi la magereza  linatarajia kupata matrekta 50 yatakayokuwa ya kwanza kutengeneza na kiwanda cha kuunganisha matrekta cha Mlandizi; https://youtu.be/u1QNMumE4Xs

Wachimbaji wadogo wa dhahabu Mpanda waandamana mpaka ofisi ya mkuu wa wilaya kujua hatma yao baada ya mgodi kufungwa kwa muda wa siku 7; https://youtu.be/BqFJrxmCHBQ

Fuatilia kwa kina kuhusu timu ya Singida United ilivyojipanga kutoa ushindani katika michuano ya ligi kuu soka Tanzania bara kwa msimu ujao; https://youtu.be/ga3EbRfP4T0

Wanawake nchini wametakiwa kuungana pamoja katika shughuli mbalimbali kwa ajili ya kujikomboa kiuchumi; https://youtu.be/68KlzjaWyJc

Jeshi la polisi  jijini Dar es Salaam limewakamata watu 15 kwa tuhuma za kukaidi ombi la kuhama katika maeneo ya mabondeni; https://youtu.be/cMaOi6QMfhc

Halmashauri ya wilaya ya Kisarawe inatarajia kupanda miti kama sehemu ya kukabiliana na mabadiliko ya tabia nchi; https://youtu.be/Pi213yN1D4w

Mkuu wa mkoa wa Kigoma awataka viongozi wa serikali kusimamia shughuli za kimaendeleo kwa ufanisi kwa ajili ya maendeleo ya wananchi; https://youtu.be/NdZcSfXLtbM

Chuo kikuu cha Huria chakabidhi msaada wa choo katika shule ya msingi Kumbukumbu ya wilayani Kinondoni; https://youtu.be/6u-6Me_JexY

Tanzania yakubali kuipatia serikali ya Kenya madaktari 500 katika kukabiliana na tatizo la uhaba wa madaktari katika vituo vya afya; https://youtu.be/BkJtP3sx6WQ

Watanzania wametakiwa kujitokeza kwa wingi kuchangia damu kwa ajili ya kuokoa maisha ya watu wanahitaji kuongezewa damu; https://youtu.be/iTD7u0jXNBM

Serikali mkoani Kagera imewataka watu wote waliovamia katika hifadhi za taifa kuondoka mara moja kabla ya kuchukuliwa hatua kali dhidi yao; https://youtu.be/iP1oYlnPMwU

Serikali yazitaka halmshauri nchini kuingiza takwimu sahihi za viwanja katika mfumo wa kieletroniki ili kusaidia ukusanyaji wa mapato; https://youtu.be/x65E8ufhrXE

Mwanasheria Tundu Lissu amechaguliwa kuwa Rais wa chama cha wanasheria Tanzania TLS kwa jumla ya kura 1411; https://youtu.be/Qtl_5EE3pDk

Ulemavu si ugonjwa :Tazama makala hii ya mtanzania ambaye anafanya kazi ya ushonaji nguo hali ya kuwa ni mlemavu wa macho; https://youtu.be/m98R_EcDXms

Yanga yatupa nje ya michuano ya klabu bingwa Afrika baada ya kulazimishwa suluhu ya bila kwa bila katika mchezo uliochezwa hii leo nchini Zambia; https://youtu.be/ZEURdZOHT8M

Rais wa Zanzibar Dkt.Shein azindua michuano ya majeshi ya Tanzania itakayotimua vumbi visiwani Zanzibar; https://youtu.be/OMfoR7anA0o

Timu ya Makongo yaibuka na ushindi wa alama 3 kwa 1 dhidi ya CDS katika michuano ya mpira wa wavu kwa mkoa wa Dar es Salaam; https://youtu.be/VVOirkGuIi4

No comments: