Monday, March 27, 2017

HABARI KUTOKA TELEVISHENI

SIMU.TV: Rais wa Zanzibar Dkt Alli Shein amesema kuongezeka kwa idadi ya watu wanaopatiwa upasuaji wa mgongo na vichwa vikubwa ni maendeleo makubwa; https://youtu.be/qci61p9VbUY

SIMU.TV: Serikali ya Zanzibar inakusudia kuimarisha mfuko wa Ulinzi kwa ukanda wa bahari ili kuweza kudhibiti upoteaji wa mapato; https://youtu.be/ps_KJvzBksA

SIMU.TV: Zanzibar inatarajia kuwa mwenyeji wa kongamalo la siku tatu kujadili magonjwa ya Kichwa maji, Uti wa mgongo na Kansa ya Ubongo; https://youtu.be/Q9Z7cKqEbW0

SIMU.TV: Naibu katibu mkuu wizara ya ujenzi na uchukuzi Angelina Madete amekitaka NIT kutoa Elimu inayokubalika kitaifa na Kimataifa; https://youtu.be/T_PPfIaA8Sc

SIMU.TV: Naibu waziri Tamisemi Zanzibar Shamata Hamis amewataka wanachama wa chama cha mapinduzi kudumisha Umoja katika kila jambo; https://youtu.be/x2imHtwRaD8

SIMU.TV: Waziri wa Ardhi visiwani Zanzibar Salama Abutwalib amewataka wanafunzi kutilia mkazo masomo ya Sayansi ili kuongeza watalaamu wengi wa masuala ya Sayansi; https://youtu.be/Asu2IDgTmTI

SIMU.TV: Wajasiriamali wa dagaa wametakiwa kuangalia soko la ndani zaidi kuweza kupata Faida na kuachana na soko la nje lililogubikwa na urasimu mkubwa; https://youtu.be/JWSs2eWFY18  

SIMU.TV: Wanawake wametakiwa kujishughulisha na biashara mbalimbali na kuacha Utegemezi wa kuajiriwa serikalini; https://youtu.be/za8PsuSLvCM

SIMU.TV: Hotel ya Marumaru iliyoko visiwani Zanzibar imejinyakulia tuzo ya kimataifa ya utoaji huduma bora kwa watalii visiwani humo; https://youtu.be/YtyF0oUrask

SIMU.TV: Fahamu matokeo ya michezo mbalimbali iliyopigwa siku ya leo katika michuano ya Majimbo Cup huko Visiwani Zanzibar; https://youtu.be/-4mKYGt6Zvo

SIMU.TV: Wadau wa mbio za Baiskeli visiwani Zanzibar wameiomba serikali kuwekea mkazo katika mchezo huo ikiwa ni pamoja na kuandaa na Ligi ya Baiskeli; https://youtu.be/Dn3eMLMX4uU

SIMU.TV: Haya hapa matokeo ya michezo mbalimbali ya kirafiki ya kimataifa iliyochezwa katika mataifa mbalimbali barani Ulaya; https://youtu.be/r0me7GeeY0E

SIMU.TV: Tume maalumu iliyoundwa na waziri mkuu Kassim Majaliwa kuchunguza sakata la kifo cha Faru John imekabidhi ripoti ya uchunguzi wa kifo cha mnyama huyo. https://youtu.be/k7bCmJYYETA

SIMU.TV: Rais Dr John Pombe Magufuli amepokea ripoti ya mdhibiti na mkaguzi wa hesabu za serikali ya mwaka wa fedha ulioishia mwezi juni 2016. https://youtu.be/Pt4ARqO9lss

SIMU.TV: Zoezi la bomoa bomoa lililofanyika katika soko la akiba lililopo eneo la Kamata jijini Dar es Salaam limewaacha wafanyabiashara wa vyuma katika hali ya sitofahamu kutokana zoezi hilo kufanyika bila taarifa. https://youtu.be/DvKtoNTBx9Y

SIMU.TV: Kampuni ya ujenzi wa miundombinu ya China rail seventh ya jijini Dar es Salaam imeanza kazi ya usanifu na ujenzi wa barabara katika eneo la kariakoo jijini Dar es Salaam. https://youtu.be/YASeBANBAJs

SIMU.TV: Rais Dr John Pombe Magufuli ameyataka madhehebu ya dini zote nchini kuunga mkono vita dhidi ya dawa za kulevya uwindaji na uvuvi haramu na ukatili wa kijinsia ili kuliokoa taifa na majanga hayo. https://youtu.be/1j1DBMUuGTI

SIMU.TV: Kufuatia tishio la ukame katika eneo la Mererani kampuni ya uchimbaji wa madini ya Tanzanite One imetoa msaada wa mahindi tani kumi kwa wazee wasiojiweza. https://youtu.be/BpG7TgTYmGE

Mrajisi wa vyama vya ushirika nchini amevunja bodi ya chama cha ushirika cha akiba na mikopo  cha walimu Ulanga kutokana na kugushi nyaraka ili kupata mikopo kutoka benki ya CRDB bila kuwa na sifa. https://youtu.be/8pFh-nJ26m0

SIMU.TV: Taasisi inayojihusisha na uchunguzi wa jinsi ya kupunguza umaskini REPOA imesema uchumi wa Tanzania umeonesha dalili njema za kukua kufuatia juhudi za serikali za kuboresha miundo mbinu na uzalishaji wa umeme. https://youtu.be/SsflOGYl2oQ

SIMU.TV: Mbunge wa viti maalumu mkoa wa Singida kupitia chama cha CHADEMA ametoa wito kwa akina mama nchini kuunda vikundi vidogo vidogo vya ujasiriamali na kuvisajili ili kupata mikopo yenye riba nafuu na masharti rahisi kutoka benki ya CRDB. https://youtu.be/0sU1S9iAOdw

SIMU.TV: Kikosi cha timu ya taifa ya Burundi maarufu kama Intamba Mu Rugamba kimewasili nchini kwa ajili ya mchezo wa kirafiki dhidi ya Taifa Stars kesho. https://youtu.be/rrMSuKJ26eY

SIMU.TV: Serikali imeagiza kuachiwa mara moja kwa msanii wa muziki Emmanuel Elibariki pamoja na kuachiwa kwa wimbo wake mpya wa ‘Wapo’ kwa kuwa unaeleza mambo yaliyopo katika jamii. https://youtu.be/WvsQa9ftUC8

SIMU.TV: Kocha mkuu wa timu ya taifa ya Ufaransa amesema mchezo wao wa kirafiki dhidi ya Hispania hautakua mgumu kama wengi wanavyofikiri kwa sababu hawaogopi kiwango cha timu ya Hispania. https://youtu.be/epTqFKGGN24





No comments: