Fuatilia mazungumzo kuhusu mchango wa sekta ya kilimo nchini katika kuhamasisha maendeleo ya viwanda nchini; https://youtu.be/mAxEYh_PgFo
Inaelezwa kuwa asilimia 43 ya wakazi mkoani Manyara hujisaidia porini kutokana na kutokuwa na vyoo; https://youtu.be/Rb3P56LXYNs
wakazi wa kijiji cha Oligilai wilayani Arumeru mkoani Arusha wailalamikia mamlaka ya maji wilayani humo kuweka mashine ya kusukuma maji bila ya ruhusa yao; https://youtu.be/wF_61jTyT0Y
Wanafunzi wa kitongoji Mtambalala kilichopo mkoani Katavi waiomba serikali kuboresha miundombinu ya shule ya msingi Mtambalala; https://youtu.be/NFns48Teno8
Askari wa jeshi la polisi wilayani Bukombe mkoani Geita wametakiwa kushirikiana na viongozi katika kutekeleza shughuli mbalimbali za ulinzi; https://youtu.be/jshWt6U80SE
Madiwani 23 kati ya 26 wa halmashauri ya wilaya ya Songwe wamkataa mkurugenzi wa halmashauri ya Songwe kwa madai ya kutokuwa na imani na utendaji kazi wake; https://youtu.be/GQ18TgAUx7Q
Mkuu wa mkoa wa Ruvuma amesema vita ya Majimaji ni fursa kubwa ya kuwa kivutio cha utalii kwa mkoa wa Ruvuma; https://youtu.be/1qaTDaLmyzE
Balozi wa Ujerumani nchini amesema historia ya vita vya Majimaji ni muhimu ikitunzwa vizuri; https://youtu.be/bXCfjgfCVQ0
Mkuu wa mkoa wa Morogoro aziagiza wilaya zote mkoani Morogoro kuwa na daftari lenye takwimu za wakulima wote wa mkoani Morogoro; https://youtu.be/P9yZAwozvNY
Tanzania na Uganda zaingia makubaliano ya kushirikiana kibiashara kama sehemu ya kukuza uchumi wan chi zote mbili; https://youtu.be/oxNZYbWFY-0
Wananchi wa kata ya Mbesa wilayani Tunduru walalamikia ubovu wa barabara unaosababisha kero kubwa katika shughuli za kiusafiri; https://youtu.be/gdymNqdjg-Q
Wanachama wa chama cha Msalaba Mwekundu wilayani Busega wajitokeza kufanya usafi katika soko la Lamadi; https://youtu.be/4lJ7FPdEzSg
Wananchi wametakiwa kuhakikisha wanasafisha maeneo yao ili kuepuka kukumbwa na magonjwa ya mlipuko kama vile kipindupindu; https://youtu.be/_WonWMiz0P0
No comments:
Post a Comment