|
Naibu
Spika wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Tulia Ackson
akiongea na Wabunge (hawapo pichani) pamoja na Waandishi wa Habari
kuhusu umuhimu wa kufanya mazoezi kwa ajili ya kulinda afya leo katika
Uwanja wa Jamhuri Mjini Dodoma. |
|
Naibu
Waziri, Wizara ya Habari,Utamaduni, Sanaa na Michezo, Mhe. Anastazia
Wambura (Mb) akiongea na Wabunge wenzake (hawapo pichani) kuhusu umuhimu
wa kufanya mazoezi kwa ajili ya kulinda afya ya miili pamoja na
matarajio ya Uzinduzi wa Mazoezi yanayotarajiwa kuzinduliwa na Waziri
Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ambayo yatatangazwa hivi
karibuni. |
|
Mbunge
wa Viti Maalum (CCM), Mhe. Ritta Kabati akiongea na Wabunge wenzake
pamoja na Waandishi wa habari kuhusu umuhimu
wa kufanya mazoezi kwa ajili ya kulinda afya ya miili wakati wa mazoezi
ya pamoja kwa Wabunge hao wanawake yaliyofanyika leo 03/02/2017 Uwanja
wa Jamhuri mjini Dodoma. |
|
Mbunge
wa Jimbo la Ilemela Jijini Mwanza (CCM), Mhe. Angeline Mabula akiongea
na Wabunge wenzake pamoja na Waandishi wa habari kuhusu umuhimu
wa kufanya mazoezi kwa ajili ya kulinda afya ya miili wakati wa mazoezi
ya pamoja kwa Wabunge hao wanawake yaliyofanyika leo 03/02/2017 Uwanja
wa Jamhuri mjini Dodoma. |
|
Baadhi
ya Wabunge wanawake wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania wakiwa
wameongozana na Spika wa Bunge (wa pili kushoto) wakifanya mazoezi
(Jogging) ikiwa ni sehemu ya kufanya mazoezi ya pamoja kwa ajili ya
kuweka sawa miili, mazoezi hayo yamefanyika leo 03/02/2017 katika Uwanja
wa Jamhuri mjini Dodoma. | |
|
Baadhi
ya Wabunge wanawake wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania wakiwa wakifanya mazoezi
ikiwa ni sehemu ya kufanya mazoezi ya pamoja kwa ajili ya
kuweka sawa miili, mazoezi hayo yamefanyika leo 03/02/2017 katika Uwanja
wa Jamhuri mjini Dodoma. |
|
Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania (wa pili kushoto) akifanya mazoezi ya mwili ikiwa ni sehemu ya ya
kuweka sawa mwili, mazoezi hayo yamefanyika leo 03/02/2017 katika Uwanja
wa Jamhuri mjini Dodoma. |
(Picha zote na Benedict Liwenga).
No comments:
Post a Comment