Wednesday, February 1, 2017

SIMU TV: HABARI KUTOKA TEEVISHENI

SIMU.TV: Ofisi ya Afisa Elimu mkoa wa Dar Es salaam imewataka walimu wakuu na wakurugenzi kuelezea sababu za kufanya vibaya matokeo ya kidato cha nne; https://youtu.be/FrDiSlTB5dY

SIMU.TV: Mkuu wa mkoa wa Arusha Mrisho Gambo amesema kamati iliyoundwa kushughulikia mgogoro wa Loliondo itaendelea na kazi yake; https://youtu.be/kKCqT9AEHP0

SIMU.TV: Rais Dkt John Magufuli amerejea nchini akitokea Addis Ababa, Ethiopia alikokwenda kuhudhuria mkutano wa 28 wa Umoja wa Afrika; https://youtu.be/WKsKt0T28Bo

SIMU.TV: Serikali imewasilisha bungeni muswada wa marekebisho ya sheria mbalimbali sita ili kuweza kurahisisha utekelezaji wa sheria hizo; https://youtu.be/nzHsVttYnzA

SIMU.TV: Wavuvi wilayani Ilemela mkoani Mwanza wameendelea na mgomo wao wa  kutaka kuruhusiwa kuunganisha nyavu zao za kuvulia samaki; https://youtu.be/KAqSk19TDmI

SIMU.TV: Kaimu Jaji mkuu nchini Prof Ibrahim Juma amekabidhi kompyuta 58 kwa mahakimu wa wilaya zote za mkoa wa Dar Es salaam; https://youtu.be/hc-tn3zofHg

SIMU.TV: Ofisi za wizara ya habari kuanzia leo zimehamia mkoani Dodoma na kwa mkoa wa Dar Es salaam huduma zitatolewa katika ofisi zilizopo uwanja wa Taifa; https://youtu.be/lufx7FDnSVo

SIMU.TV: SIDO imeanzisha kituo cha kutengeneza bidhaa kama samani, urembo kwa kutumia mianzi na migomba ili kuwezesha vijana kujiajiri; https://youtu.be/oamrrhIKiH8

SIMU.TV: Bei ya mafuta ya jumla na reja reja ya Petrol na Diesel imepanda kuanzia leo kutokana na kupanda kwa bei ya mafuta duniani; https://youtu.be/qu6TMGrX3SA

SIMU.TV: BRELA imefungua ofisi tatu katika kanda za Kusini, Kanda ya Ziwa na Mbeya ili kurahisisha utendaji kazi wa Brela; https://youtu.be/po1K5W9Ba-I

SIMU.TV: Mchezo wa kirafiki wa kimataifa baina ya timu ya Azam na mabingwa wa Afrika Mamelodi Sundowns unapigwa leo uwanja wa Taifa; https://youtu.be/Ws2mPmjZY6o

SIMU.TV: Mwili wa aliyekuwa golikipa wa Kagera Sugar David Burhan umeagwa leo katika uwanja wa Samora na kuzikwa mkoani Iringa; https://youtu.be/eSeyKWk4RUk

SIMU.TV: Kocha mkuu wa timu ya Liverpool Jurgen Klopp amesema hawezi kuwa na urafiki na mshambuliaji wa tegemeo wa Chelsea Diego Costa; https://youtu.be/ubEW7K2AVyI

SIMU.TV: Baraza la michezo la Taifa limesema mpaka sasa ni mtu mmoja tu amejitokeza kuchukua fomu kuwania uongozi katika chama cha Tenisi; https://youtu.be/1InqlqbpV7A

No comments: