Saturday, February 11, 2017

RC GAMBO AONGOZA WANANCHI KATIKA MAZOEZI YA VIUNGO JIJINI ARUSHA

Mkuu wa mkoa wa Arusha,Mrisho Gambo akizindua mazoezi ya viungo kwa kuonyesha kwa mfano kwenye uwanja wa Sheikh Amri Abeid   kuitikia wito wa Makamu wa Rais,Mh.Samia Suluhu Hassan wa kufanya mazoezi kila wiki ya pili ya mwezi kwa lengo kuzuia magonjwa yasiyoambukizwa na kuiweka miili katika hali ukakamavu.

Mkuu wa mkoa wa Arusha,Mrisho Gambo akipiga Push-Up za kutosha.

Kamanda wa Polisi mkoa wa Arusha,Charles Mkumbo(kushoto) na Mkuu wa wilaya ya Arusha,Gabriel Daqarro nao hawakua nyumba katika kuonyesha ukakamavu wao.Picha zote na Filbert Rweyemamu

Mkuu wa mkoa wa Arusha,Mrisho Gambo(katikati) akiongoza mazoezi mepesi akiwa na viongozi wengine.

Umati uliojitokeza kushiriki mazoezi ya viungo kwenye uwanja wa Sheikh Amri Abeid jijini Arusha.

Kamanda wa Polisi mkoa wa Arusha,Charles Mkumbo(kati)akipasha pamoja na wananchi

Furaha ya ushindi wa kuvuta kamba


Wadau katika halmashauri ya Jiji la Arusha  walioshiriki mazoezi ya viungo.


Furaha ya ushindi wa kuvuta kamba

Mazoezi ya wanafunzi yakiendelea na mwalimu

Mashindano ya kukimbia Yai likiwa kwenye Kijiko yamevutia wengi.

No comments: