Katibu Mkuu wa Wizara ya Maliasili na Utalii, Maj. Gen. Gaudence Milanzi (
katikati) akizungumza na Mwakilishi wa Mkurugenzi Mkuu TANAPA, Mtango
Mtaiko ( wa kwanza kushoto) akiwa pamoja na Mkufunzi wa Mafunzo wa
TANAPA, John Nyamhanga mara baada ya kuwasili kwa ajili ya kufunga
mafunzo ya wahifadhi wa wanyamapori 103 kutoka TANAPA, TAWA na
Mamlaka ya Hifadhi ya Ngorongoro yaliyofanyika jana katika kituo cha mafunzo
cha Mlele mkoani Katavi. Wengine ni Mwakilishi wa Mkuu wa Mkoa, Rachel
Kasanda ( wa pili kushoto) pamoja na viongozi wa taasisi.
Katibu Mkuu wa Wizara ya Maliasili na Utalii, Maj. Gen. Gaudence Milanzi akikagua gwaride wakati wa kufunga mafunzo ya jeshi Usu kwa
wahifadhi wa wanyamapori 103 kutoka TANAPA, TAWA na Mamlaka ya Hifadhi
ya Ngorongoro yaliyofanyika jana katika kituo cha mafunzo cha Mlele mkoani
Katavi. Wengine ni Mwakilishi wa Mkuu wa Mkoa, Rachel Kasanda ( wa pili
kushoto) pamoja na viongozi wa taasisi.
Paredi ikipita mbele ya mgeni rasmi Katibu Mkuu wa Wizara ya Maliasili na Utalii,
Maj. Gen. Gaudence Milanzi ( hayupo pichani) wakati wa kufunga mafunzo ya
jeshi Usu kwa wahifadhi wa wanyamapori 103 kutoka TANAPA, TAWA na
Mamlaka ya Hifadhi ya Ngorongoro yaliyofanyika jana katika kituo cha mafunzo
cha Mlele mkoani Katavi.
Katibu Mkuu wa Wizara ya Maliasili na Utalii, Maj. Gen. Gaudence Milanzi ( wa
katikati) akiwa amesimama kiukakamu wakati Paredi ikipita mbele yake( haipo
pichani ) kabla kufunga mafunzo ya jeshi Usu kwa wahifadhi wa wanyamapori
103 kutoka TANAPA, TAWA na Mamlaka ya Hifadhi ya Ngorongoro
yaliyofanyika jana katika kituo cha mafunzo cha Mlele mkoani Katavi.
Baadhi ya wahitimu wa mafunzo wakiwa wamesimama kikakamavu wakati
wakila viapo vya utii na nidhamu katika utendaji wa kazi.
Katibu Mkuu wa Wizara ya Maliasili na Utalii, Maj. Gen. Gaudence Milanzi ( wa kwanza kulia) akiangalia sehemu ambapo wahitimu wa mafunzo walilenga shabaha kwa kutumia risasi ya moto kwenye picha inayoonekana wakati wa kufunga mafunzo ya wahifadhi wa wanyamapori 103 kutoka TANAPA, TAWA na Mamlaka ya Hifadhi ya Ngorongoro yaliyofanyika jana katika kituo cha mafunzo cha Mlele mkoani Katavi. Wengine ni Mwakilishi wa Mkuu wa Mkoa, Rachel Kasanda ( wa pili kushoto) pamoja na viongozi wa taasisi.
Katibu Mkuu wa Wizara ya Maliasili na Utalii, Maj. Gen. Gaudence Milanzi ( wa
kwanza kushoto) mara baada kufunga mafunzo ya jeshi Usu kwa wahifadhi wa
wanyamapori 103 kutoka TANAPA, TAWA na Mamlaka ya Hifadhi ya
Ngorongoro yaliyofanyika jana katika kituo cha mafunzo cha Mlele mkoani
Katavi. Wengine ni Mwakilishi wa Mkuu wa Mkoa, Rachel Kasanda ( wa pili
kushoto) Mwakilishi wa Mkurugenzi Mkuu TANAPA, Mtango Mtaiko ( wa tatu
kushoto) pamoja na Mwakilishi wa Mkurugenzi Mkuu wa TAWA, David Kanyatta
( wa pili kulia) pamoja na Naibu Mhifadhi Mkuu Ngorongoro, Dkt. Maulusi Msuha
( wa kwanza kulia).
Katibu Mkuu wa Wizara ya Maliasili na Utalii, Maj. Gen. Gaudence Milanzi
akizungumza wahifadhi wa wanyamapori 103 kutoka TANAPA, TAWA na
Mamlaka ya Hifadhi ya Ngorongoro kabla ya kufunga mafunzo ya jeshi Usu
yaliyofanyika jana katika kituo cha mafunzo cha Mlele mkoani Katavi.
No comments:
Post a Comment