Saturday, February 11, 2017

KINANA AONGOZA MAZISHI YA ALIYEKUWA KATIBU WA HAMASA WA SHIRIKISHO LA WANAFUNZIWA VYUO VYA ELIMU YA JUU MKOA WA KILIMANJARO, EDWIN MSELLE, LEO, WILAYANI KIBOSHO


Katibu Mkuu wa CCM Abdulrahman Kinana akitoa salam za rambirambi zake binafsi, CCM na za Mwenyekiti wa CCM, Rais Dk. John Magufuli wakati wa mazishi ya aliyekuwa Katibu wa Hamasa wa Shirikisho la Wanafunzi wa Vyuo vya Elimu ya Juu mkoa wa Kilimanjarona Mjumbe wa Mkutano Mkuu wa CCM, Edwin Mselle, wakati wa ibada na kuaga mwili.

Mazishi hayo yamefanyika leo Wilayani Kibosho, mkoani Kilimanjaro. Edwin ambaye pia alikuwa mwanafunzi wa udaktari, mwaka wa nne katika Chuo Kikuu Kishiriki cha KCMC, ni miongoni mwa viongozi wanne wa CCM waliofariki kwa ajali ya gari, wakati waitoka kwenye maadhimisho ya miaka 40 ya CCM, Februari 5, 2017 ambapo Kinana ameongoza kwenye mazishi yao wote. 

Taratibu zikifanywa na Padre kabla ya kuingiza jeneza kaburini 


Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana akiweka udongo kaburini  

Mkuu wa mkoa wa Kilimanjaro Said Mecky Sadick akimwaga udongo kaburini wakati wa maziko

Kinana akikabidhi rambirambi kutoka CCM na Jumuia zake kwa Baba wa Marehemu Edwin, Christopher Mselle wakati wa mazishi hayo


Kinana akimpa pole Padre Dackshen Hangai wakati wa mazsihi hayo.
Vijana wa UVCCM wakiwa wamebeba jeneza kwenda eneola maziko, wakati wa mazishi hayo
Vijana wa UVCCM wakiwasili na jeneleza lenye mwili wa marehemu katika eneo la maziko
Kinana akiwasili eneo la maziko wakati wa mazishi hayo
Huyu kuku naye alihudhuria mazihi hayo, na wengi kutafsiri kwamba, Marehemu amezikwa kwa baraka sana
Padre akisoma maandiko matakatifu ya biblia kabla ya mwili kuingizwa kaburini

Jeneza lenye mwili wa marehemu likiingizwa kaburini
Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana akiweka udongo kaburini
Mkuu wa mkoa wa Kilimanjaro Said Mecky Sadick akimwaga udongo kaburini wakati wa maziko
Baba na Mama wa marehemu wakiweka udogo kaburini. TAFADHALI ENDELEA KUTAZAMA PICHA ZAIDI ZA MSIBA HUU. PICHA ZOTE NA BASHIR NKOROMO

\


Katibu Mkuu wa CCM Abdulrahman Kinana akitoa heshima za mwisho kwa aliyekuwa Katibu wa Hamasa wa Shirikisho la Wanafunzi wa Vyuo vya Elimu ya Juu mkoa wa Kilimanjarona Mjumbe wa Mkutano Mkuu wa CCM, Edwin Mselle, wakati wa ibada na kuaga mwili, wakati wa mazishi, yaliyofanyika leo Wilayani Kibosho, mkoani Kilimanjaro. Edwin ambaye pia alikuwa mwanafunzi wa udaktari, mwaka wa nne katika Chuo Kikuu Kishiriki cha KCMC, ni miongoni mwa viongozi wanne wa CCM waliofariki kwa ajali ya gari, wakati waitoka kwenye maadhimisho ya miaka 40 ya CCM, Februari 5, 2017 ambapo Kinana ameongoza kwenye mazishi yao wote.
Mkuu wa mkoawa Kilimanjaro Said Mecky Sadick akitoa heshima za mwisho kwa aliyekuwa Katibu wa Hamasa wa Shirikisho la Wanafunzi wa Vyuo vya Elimu ya Juu mkoa wa Kilimanjarona Mjumbe wa Mkutano Mkuu wa CCM, Edwin Mselle, wakati wa ibada na kuaga mwili, wakati wa mazishi, yaliyofanyika leo.


Marehemu Edwin Mselle enzi za uhai wake


Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana akiwa na Mkuu wa mkoa wa Kilimanjaro, Saidi Mecky Sadick kwenye mazishi hayo


Waombolezaji


waombolezaji
Katibu Mkuu wa CCM Abdulrahman Kinana akisaliiana na Paroko wa Kanisa Katoliki Mwika, Emmanuel tumaini wakati wa mazishi hayo
Katibu Mkuu Abdulrahman Kinana akia na viongozi na waombolezaji wengie kwenye mazishi hayo


Upande wa wa Ndugu wa Marehemu wakiwa kwenye mazishi hayo


Katibu Mkuu wa CCM Abdulrahma Kinana akiwa amesimama na viongozi na waombolezaji wengine wakati wa ibada ya kuomea marehemu wakati wa mazishi hayo
Wanakwaya wakiimba nyimbo za maombolezo kwenye mazishi hayo


Ibada ya kuombea marehemu ikifanyika wakati wa mazishi hayo


Waombolezaji


Waombolezaji


Muombolezaji


Waombolezaji wakilachakula

No comments: