Sunday, February 26, 2017

DKT. HASSAN ABBAS AWATAKA WANATASNIA YA HABARI KUFANYA KAZI KWA VITENDO NA KUWA WABUNIFU

Mkurugenzi wa Idara ya Habari-MAELEZO Dkt. Hassan Abbasi akisaini kitabu cha wageni alipohudhuria mahafali ya 20 ya chuo cha uandishi wa habari Morogoro (MSJ).
 Mkurugenzi wa Idara ya Habari-MAELEZO Dkt. Hassan Abbasi akiteta jambo na Mkuu wa Chuo cha Uandishi wa Habari Morogoro (MSJ) Bw. Augustino Nongwe alipohudhuria mahafali ya 20 ya chuo leo Mjini Morogoro.
 Mkurugenzi wa Idara ya Habari-MAELEZO Dkt. Hassan Abbasi na Mkuu wa Chuo cha Uandishi wa Habari Morogoro (MSJ) Bw. Augustino Nongwe wakiwaongoza wahitimu katika maandamano wakati wa mahafali ya 20 ya chuo leo Mjini Morogoro.
 Mkurugenzi wa Idara ya Habari-MAELEZO Dkt. Hassan Abbasi akiteta jambo na Mkuu wa Chuo cha Uandishi wa Habari Morogoro (MSJ) Bw. Augustino Nongwe alipohudhuria mahafali ya 20 ya chuo leo Mjini Morogoro.
 Baadhi ya wahitimu wakiwa katika mahafali hayo
 Mkuu wa Chuo cha Uandishi wa Habari Morogoro (MSJ) Bw. Augustino Nongwe akiongea wakati wa mahafali ya 20 ya Chuo cha Uandishi wa Habari Morogoro (MSJ) ambapo mbali na mambo mengine alipongeza jitihada za serikali katika kuhakikisha sekta ya habari inapata hadhi inayostahili na kuheshimika.
 Mkurugenzi wa Idara ya Habari-MAELEZO Dkt. Hassan Abbasi akitangaza mkusanyiko huo kuwa mahafali ya 20 ya Chuo cha Uandishi wa Habari Morogoro (MSJ) kulia ni Mkuu wa Chuo cha Uandishi wa Habari Morogoro (MSJ) Bw. Augustino Nongwe wakati wa mahafali ya 20 ya chuo leo Mjini Morogoro.
 Mhitimu katika Chuo cha Uandishi wa Habari Morogoro (MSJ) Elias Eliakim akisoma risala kwa Mgeni rasmi ambaye ni Mkurugenzi wa Idara ya Habari-MAELEZO Dkt. Hassan Abbasi ambapo mbali na mambo mengine aliomba viongozi wa Serikali kuweka utaratibu wa kutembelea vyuo vya kati vya uandishi wa habari ili kujenga hamasa kwa wanafunzi.
 Mkurugenzi wa Idara ya Habari-MAELEZO Dkt. Hassan Abbasi akimsikiliza Mkuu wa Chuo cha Uandishi wa Habari Morogoro (MSJ) Bw. Augustino Nongwe wakati akitoa hotuba yake wakati wa mahafali ya 20 ya chuo leo Mjini Morogoro.
 Mkurugenzi wa Idara ya Habari-MAELEZO Dkt. Hassan Abbasi akiongea na wahitimu wa Chuo cha Uandishi wa Habari Morogoro (MSJ) ambapo alisisitiza umuhimu wa wanatasnia ya habari kuwa watendaji na sio waongeaji bila vitendo ikiwa ni moja ya mkakati wa kuikuza tasnia hii na kuendana na Sheria mpya ya Huduma za Habari wakati wa mahafali ya 20 ya chuo leo Mjini Morogoro.
 Mkurugenzi wa Idara ya Habari-MAELEZO Dkt. Hassan Abbasi akiwapa vyeti vya uhitimu wa Diploma na cheti katika uandishi wa habari waliokuwa wanafunzi wa Chuo cha Uandishi wa Habari Morogoro (MSJ) 
Mkurugenzi wa Idara ya Habari-MAELEZO Dkt. Hassan Abbasi akiwa katika picha ya pamoja wahitimu,wafanyakazi wa Chuo cha Uandishi wa Habari Morogoro (MSJ) wakati wa mahafali ya 20 ya chuo leo Mjini Morogoro.
PICHA NA HASSAN SILAYO-MAELEZO

No comments: