Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein
(kushoto) akisalimiana na Makamu wa Pili wa Rais Mhe Balozi Seif Ali
Iddi wakati alipowasili Saateni Mjini Unguja kuzindua Awamu ya kwanza ya
Branding ya Karafuu ya Zanzibar leo,ikiwa ni shamra shamra za miaka
53 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar,(katikati) Mkuu wa Mkoa Mjini
Magharibi Mhe,Ayoub Mohamed Mahamoud.
Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein
(kushoto) akisalimiana na Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za
Mikoa,Serikali za Mitaa na Idara Maalum za SMZ Mhe, Haji Omar Kheri
wakati alipowasili Saateni Mjini Unguja kuzindua Awamu ya kwanza ya
Branding ya Karafuu ya Zanzibar leo,ikiwa ni shamra shamra za
maadhimishio ya miaka 53 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar.
Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein
(katikati) alipokuwa akiwaangalia wafanyakazi wa Shirika la ZSTC wakitoa
uchafu katika Karafuu zinazotayarishwa kwa mauzo ambazo huingizwa
katika chupa na kuwekewa alama maalum kwa ajili ya mauzo wakati
alipotembelea kazi hizo leo katika uzinduzi Awamu ya kwanza ya Branding
ya Karafuu ya Zanzibar,ikiwa ni shamra shamra za maadhimisho ya miaka
53 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar,(wa pili kushoto) Mkurugenzi
Mwendeshaji Dkt.Said Seif Mzee
Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein
(katikati) alipokuwa akipata maelezo kwa Asmahani Abdulkadir
alipotembelea Karafuu zinazotiwa katika chupa kuwekewa alama maalum kwa
ajili ya mauzo wakati alipowasili Saateni Mjini Unguja kuzindua Awamu
ya kwanza ya Branding ya Karafuu ya Zanzibar leo,ikiwa ni shamra
shamra za miaka 53 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar,(kushoto)
Mkurugenzi Mwendeshaji Dkt.Said Seif Mzee.
Baadhi
ya Wafanyakazi wa Shirika la ZSTC na Wananchi waliohudhuria katika
uzinduzi wa Awamu ya kwanza ya Branding ya Karafuu ya Zanzibar huko
Saateni Mjin Unguja leo,wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa
Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein alipotoa hutuba yake katika
hafla hiyo ikiwa ni shamra shamra za maadhimisho ya miaka 53 ya
Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar.
Waziri
wa Biashara Viwanda na Masoko Mhe,Amina Salum Ali alipokuwa
akimkaribisha Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi
Dk.Ali Mohamed Shein (wa tatu kushoto) kuzungumza na Wananchi na
Viongozi waliohudhuria katika uzinduzi wa Awamu ya kwanza ya Branding
ya Karafuu ya Zanzibar huko Saateni Mjini Unguja leo,ikiwa ni shamra
shamra za miaka 53 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar.
Baadhi
ya Viongozi waliohudhuria nkatika hafla ya Uzinduzi wa Awamu ya kwanza
ya Branding ya Karafuu ya Zanzibar huko Saateni Mjini Unguja
leo,wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi
Dk.Ali Mohamed Shein alipotoa hutuba yake katika hafla hiyo ikiwa ni
shamra shamra za maadhimisho ya miaka 53 ya Mapinduzi Matukufu ya
Zanzibar
Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein
alipokuwa akizungumza na Viongozi,Wafanyakazi na Wananchi katika hafla
ya Uzinduzi wa Awamu ya kwanza ya Branding ya Karafuu ya Zanzibar huko
Saateni Mjini Unguja leo,ikiwa ni shamra shamra za maadhimisho ya miaka
53 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar,(kulia) Waziri wa Biashara Viwanda
na Masoko Mhe,Amina Salum Ali,
Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein
alipokuwa akizungumza na Viongozi,Wafanyakazi na Wananchi katika hafla
ya Uzinduzi wa Awamu ya kwanza ya Branding ya Karafuu Zanzibar huko
Saateni Mjini Unguja leo,ikiwa ni shamra shamra za maadhimisho ya miaka
53 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar,(kulia) Waziri wa Biashara Viwanda
na Masoko Mhe,Amina Salum Ali na (kushoto) Mwenyekiti wa Bodi ya Shirika
la ZSTC Maalim Kassim Suleiman.
Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed
Shein(kulia) akinyanyua Nembo ya KARAFUU kama ishara ya Uzinduzi wa
Awamu ya kwanza ya Branding ya Karafuu ya Zanzibar,uliofanyika leo
huko Saateni Mjini Unguja,ikiwa ni shamra shamra za maadhimisho ya
miaka 53 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar,(kulia) Waziri wa Biashara
Viwanda na Masoko Mhe,Amina Salum Ali,(kushoto) Mwenyekiti wa Bodi ya
ZSTC Maalim Kassim Suleiman.
Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein
alipokuwa akiagana na Mwenyekiti wa Bodi ya Shirika la ZSTC Maalim
Kassim Suleiman (katikati) baada ya kumalizika hafla ya Uzinduzi wa
Awamu ya kwanza ya Branding ya Karafuu Zanzibar huko Saateni Mjini
Unguja leo,ikiwa ni shamra shamra za maadhimisho ya miaka 53 ya
Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar,(kushoto) Waziri wa Biashara Viwanda na
Masoko Mhe,Amina Salum Ali.
(Picha na Ikulu)
No comments:
Post a Comment