Tuesday, January 10, 2017

UFUNGUZI WA TAMASHA LA BIASHARA ZANZIBAR.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akisalimiana na Waziri wa Biashara,Viwanda na Masoko Mhe, Amina Salum Ali alipowasili katika viwanja vya Maisara wilaya ya Mjini Unguja leo  kufungua Tamasha la tatu la Maonesho ya Biasahara Zanzibar ikiwa ni katika shamra shamra za miaka 53 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akisalimiana na Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa Tantrade Dar es Salaam Edwin N.Rutageruka, mara alipowasili katika viwanja vya Maisara wilaya ya Mjini Unguja leo kufungua Tamasha la tatu la Maonesho ya Biasahara Zanzibar ikiwa ni katika shamra shamra za miaka 53 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akifuatana na Waziri wa Biashara,Viwanda na Masoko Mhe, Amina Salum Ali alipowasili katika viwanja vya Maisara wilaya ya Mjini Unguja leo  kufungua Tamasha la tatu la Maonesho ya Biasahara Zanzibar ikiwa ni katika shamra shamra za miaka 53 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar.
Baadhi ya Watendaji na wageni mbali mbali waliohudhuria katika sherehe za Ufunguzi wa maonesho ya Tamasha la tatu la Biashara Zanzibar wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (hayupo pichani) alipokuwa kitoa hutuba yake ya ufunguzi katika viwanja vya Maisara Wilaya ya Mjini Unguja leo baada kufungua rasmi maonesho hayo 
ikiwa ni katika shamra shamra za miaka 53 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar.
Wafanyakazi kutoka Taasisi za Serikali na Binafsi waliohudhuria katika Ufunguzi wa maonesho ya Tamasha la tatu la Biashara Zanzibar wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (hayupo pichani) alipokuwa kitoa hutuba yake ya ufunguzi katika viwanja vya Maisara Wilaya ya Mjini Unguja leo baada kufungua rasmi maonesho hayo 
ikiwa ni katika shamra shamra za miaka 53 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar.
Wafanyakazi kutoka Taasisi za Serikali na Binafsi waliohudhuria katika Ufunguzi wa maonesho ya Tamasha la tatu la Biashara Zanzibar wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (hayupo pichani) alipokuwa kitoa hutuba yake ya ufunguzi katika viwanja vya Maisara Wilaya ya Mjini Unguja leo baada kufungua rasmi maonesho hayo ikiwa ni katika shamra shamra za miaka 53 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar,.
Kikundi cha wasanii wa ngoma ya kibati wakiburudisha kwa Viongozi na Wananchi wakati wa Ufunguzi wa maonesho ya Tamasha la tatu la Biashara Zanzibar lililofunguliwa leo na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (hayupo pichani) katika viwanja vya Maisara Wilaya ya Mjini Unguja leo,ikiwa ni katika shamra shamra za miaka 53 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar.
Viongozi mbali mbali waliohudhuria katika Ufunguzi wa  Tamasha la tatu la Biashara Zanzibar  lililofunguliwa leo na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (hayupo pichani) sambamba na maonesho katika viwanja vya Maisara Wilaya ya Mjini Unguja leo,ikiwa ni katika shamra shamra za miaka 53 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar.
Waziri wa Biashara,Viwanda na Masoko Mhe, Amina Salum Ali ,(kulia) alipo
kuwa akimkaribisha  Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein ( katikati )  kufungua Tamasha la Tatu (3) la Biashara Zanzibar  katika viwanja vya Maisara wilaya ya Mjini Unguja leo ikiwa ni katika shamra shamra za miaka 53 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar.

No comments: