Mkurugenzi
wa Kituo cha Kulea Watoto waliokimbia Kukeketwa cha (ATFGM-Massanga)
kilichopo Tarime Vijijini Sister Stella Mgaya akimkaribisha Katibu Mkuu
Wizara ya Afya Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto (Idara kuu ya
Maendeleo ya Jamii) Bi. Sihaba Nkinga alipofika wakati wa mahafali ya
wasichana 46 waliokimbia ukeketaji.
Mkuu
Wizara ya Afya Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto (Idara kuu
ya Maendeleo ya Jamii) Bi. Sihaba Nkinga akisaini kitabu cha wageni
alipofika katika Kituo cha Kulea Watoto waliokimbia Kukeketwa cha
(ATFGM-Massanga) pembeni ni Mkurugenzi wa Kituo hicho Sister Stella
Mgaya.
Katibu
Mkuu Wizara ya Afya Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto (Idara
kuu ya Maendeleo ya Jamii) Bi. Sihaba Nkinga akitembelea maeneo
mbalimbali katika Kituo cha Kulea Watoto waliokimbia Kukeketwa cha
(ATFGM-Massanga).
Baadhi ya watoto waliokimbia ukeketaji wakiwa katika maandano kuelekea eneo walilofanyia mahafali.
Katibu
Mkuu Wizara ya Afya Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto (Idara
kuu ya Maendeleo ya Jamii) Bi. Sihaba Nkinga na Mkuu wa Wilaya ya Tarime
Bw. Glorious Luoga wakiwaongoza watoto waliokimbia ukeketaji kwenye
maandamano wakati wa mahafali leo Tarime.
Katibu
Mkuu Wizara ya Afya Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto (Idara
kuu ya Maendeleo ya Jamii) Bi. Sihaba Nkinga na Mkuu wa Wilaya ya Tarime
Bw. Glorious Luoga wakiangalia baadhi ya bidhaa vilivyotengenezwa na
Mangariba waliostaafu (kina mama na Baba wakisasa) wakati wa mahafali ya
wasichana 46 waliokimbia ukeketaji.
Katibu
Mkuu Wizara ya Afya Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto (Idara
kuu ya Maendeleo ya Jamii) Bi. Sihaba Nkinga akiteta jambo na Mkurugenzi
wa Kituo cha Kulea Watoto waliokimbia Kukeketwa cha (ATFGM-Massanga)
Sister Stella Mgaya
Katibu
Mkuu Wizara ya Afya Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto (Idara
kuu ya Maendeleo ya Jamii) Bi. Sihaba Nkinga akimkabidhi cheti mmoja ya
mhitimu ambaye ni mtoto aliyekimbia ukeketaji kwenye jamii yake na
kujiunga na Kituo cha Kulea Watoto waliokimbia Kukeketwa cha
(ATFGM-Massanga)
Vijana wakifanya igizo la kupinga Ukeketaji dhidi ya watoto.
Mkurugenzi
wa Kituo cha Kulea Watoto waliokimbia Kukeketwa cha (ATFGM-Massanga)
Sister Stella Mgaya akiongea wakati wa mahafali mahafali ya wasichana 46
waliokimbia ukeketaji na kushukuru juhudi zinazoendelea kuchukuliwa na
uongozi wa wilaya ya Tarime kukabiliana na tatizo hilo na kuendelea
kuomba wadau kujitokeza kuwaendeleza watoto wanaohitimu kituoni hapo.
Mkuu
wa Wilaya ya Bunda Bi.Lydia Bupilipili akiongea wakati wa mahafali
mahafali ya wasichana 46 waliokimbia ukeketaji na kuwasisitiza wazazi na
walezi kubadilika na kuachana na imani potofu ya ukeketaji ili
kuwawezesha kutimiza malengo yao.
Mangariba wastaafu(Kina Mama na Kinababa Wakisasa) wakila kiapo cha kuacha na kutoendelea na ukeketaji.
Katibu
Mkuu Wizara ya Afya Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto (Idara
kuu ya Maendeleo ya Jamii) Bi. Sihaba Nkinga akimkabidhi Moja ya Ngariba
Mstaafu (Mama wa Kisasa) cheti kutoka cha mafunzo waliyopewa baada ya
kuachana na ukeketaji.
Mkurugenzi
wa Kituo cha Kulea Watoto waliokimbia Kukeketwa cha (ATFGM-Massanga)
Sister Stella Mgaya akimkabidhi Mkuu Wizara ya Afya Maendeleo ya Jamii,
Jinsia, Wazee na Watoto (Idara kuu ya Maendeleo ya Jamii) Bi. Sihaba
Nkinga cheti cha utambuzi katika harakati za kukabiliana na ukeketaji.
Katibu
Mkuu Wizara ya Afya Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto (Idara
kuu ya Maendeleo ya Jamii) Bi. Sihaba Nkinga akiwakabidhi Mangariba
wastaafu(Kina Mama na Kinababa Wakisasa) vitendea kazi watakavyotumia
katika shughuli zao mpya baada ya kuachana na ukeketaji na kuamua
kujiwekeza katika ujasiriamali.
Mkurugenzi
wa Kituo cha Kulea Watoto waliokimbia Kukeketwa cha (ATFGM-Massanga)
Sister Stella Mgaya akimkabidhi Kaimu Mkurugenzi Idara ya Maendeleo ya
Watoto kutoka Wizara ya Afya Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto
Bi.Margareth Mussai.
Mkuu
wa Wilaya ya Tarime Bw. Glorious Luoga akiongea wakati wa mahafali ya
watoto waliokimbia kukeketwa na kujiunga katika kituo Watoto waliokimbia
Kukeketwa cha (ATFGM-Massanga) ambapo aliwataka wazazi wanaowatenga na
kuwalazimisha kuwakeketa watoto waliohitumu mafunzo kuacha tabia hiyo
kwani watachukuliwa hatua kali za kisheria.
Katibu
Mkuu Wizara ya Afya Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto (Idara
kuu ya Maendeleo ya Jamii) Bi. Sihaba Nkinga akiongea wakati wa mahafali
ya watoto waliokimbia kukeketwa na kujiunga katika kituo Watoto
waliokimbia Kukeketwa cha (ATFGM-Massanga) ambapo alisisitiza kuwa
serikali itaendelea kuwachukulia hatua wazazi na jamii inayoendelea na
kitendo kiovu cha ukeketaji kwa watoto wa kike.
PICHA NA IDARA YA HABARI
No comments:
Post a Comment