Monday, January 16, 2017

TANZANIA YAZINDUA FURSA ZA WANAWAKE KUWEKEZA SEKTA YA KILIMO

Waziri wa Viwanda, Biashara na Uwekezaji, Charles Mwijage,akizungumza na viongozi wa Asasi isiyo ya Kiserikali ya Wasaa-Tanzania Chapter inayojishulisha na bidhaa za kilimo kusini mwa jangwa la sahara, wakati wa ufunguzi wa semina ya kuwajengea uwezo wanawake katika fursa za uwekezaji wa viwanda iliyofanyika katika ukumbi wa 5s uliyopo eneo la Bahari beach Ununio,Dar es Salaam jana.
Waziri wa Viwanda, Biashara na Uwekezaji, Charles Mwijage,akiongoza na Rais wa Asasi isiyo ya Kiserikali ya Wasaa-Tanzania Chapter inayojishulisha na bidhaa za kilimo kusini mwa jangwa la sahara, Margaret Chacha, wakati wa ufunguzi wa semina ya kuwajengea uwezo wanawake katika fursa za uwekezaji wa viwanda iliyofanyika katika ukumbi wa 5s uliyopo eneo la Bahari beach Ununio,Dar es Salaam jana.
Waziri wa Viwanda, Biashara na Uwekezaji, Charles Mwijage, akizungumza katika ufunguzi wa semina ya kuwajengea uwezo wanawake katika fursa za uwekezaji wa viwanda iliyoandaliwa na Asasi isiyo ya Kiserikali ya Wasaa-Tanzania Chapter inayojishulisha na bidhaa za kilimo Kusini mwa Jangwa la Sahara iliyofanyika katika ukumbi wa 5s uliyopo eneo la Bahari beach Ununio,Dar es Salaam jana.
Mjumbe na Mjasiriamali wa Asasi isiyo ya Kiserikali ya Wasaa-Tanzania Chapter Mmiliki wa Ukumbi wa 5s, Salome Kaselwa, akizungumzana waandishi wa habari kuhusu fursa za uwekezaji katika semina ya kuwajengea uwezo wanawake katika uwekezaji wa viwanda.
Mkurungezi wa Idara ya Viwanda na Biashara ndogo wa Wizara ya Viwanda, Biashara na Uwekezaji, Dk. Consolatha Ishebabi, akizungumza wakati wa semina ya kuwajengea uwezo wanawake katika fursa za uwekezaji wa viwanda Ununio,Dar es Salaam jana.
Mwanasiasa Mkongwe nchini, Getrude Mongera, akizungumza wakati wa semina ya kuwajengea uwezo wanawake katika fursa za uwekezaji wa viwanda iliyoandaliwa Asasi isiyo ya Kiserikali ya Wasaa-Tanzania Chapter katika ukumbi wa 5s uliyopo eneo la Bahari beach Ununio,Dar es Salaam jana.
Rais wa Asasi isiyo ya Kiserikali ya Wasaa-Tanzania inayojishulisha na bidhaa za kilimo Kusini mwa Jangwa la Sahara Chapter, Margret Chacha, akizungumza wakati wa semina ya kuwajengea uwezo wanawake katika fursa za uwekezaji wa viwanda iliyoandaliwa iliyofanyika katika ukumbi wa 5s uliyopo eneo la Bahari beach Ununio,Dar es Salaam jana.
Mwenyekiti wa Asasi isiyo ya Kiserikali ya Wasaa-Tanzania Chapter inayojishulisha na bidhaa za kilimo Kusini mwa Jangwa la Sahara , Dk. Fatma Mrisho, akizungumza katika semina ya kuwajengea uwezo wanawake katika fursa za uwekezaji wa viwanda iliyoandaliwa iliyofanyika katika ukumbi wa 5s uliyopo eneo la Bahari beach Ununio,Dar es Salaam jana.No comments: