|
Meli
Kubwa inayoweza kuingia abiria 1600, magari 50 na mizigo kwa pamoja ambayo itafanya
safari zake kati ya Tanga-Unguja na Pemba ikiwa inaingia bandari ya
Tanga leo wakati wa uzinduzi wake ambapo uwekezaji huo mkubwa umefanywa
na kampuni ya Azam Marine ili kuwanusuru wananchi wa mkoa wa Tanga na
changamoto za usafiri huo |
|
Meli Kubwa inayoweza kuingia abiria 1600 na
magari hamsini yenye mizigo kwa
pamoja ambayo itafanya safari zake kati ya Tanga-Unguja na Pemba ikiwa
inaingia bandari ya Tanga leo wakati wa uzinduzi wake ambapo uwekezaji
huo mkubwa umefanywa na kampuni ya Azam Marine |
Meneja Mkuu wa Azam Marine Hussein
Mohammed wa pili kulia akitazama namna wananchi wanavyoshuka kwenye
meli hiyo itakayopunguza adha na usumbufu kwa wananchi wanaosafiri
kutoka mkoani Tanga kwenda Unguja na Pemba
|
Meneja
Mkuu wa Azam Marine Hussein Mohammed katikati akizungumza na watumishi
wa mamlaka ya Bandari Mkoani Tanga wakati wa ujio wa meli hiyo kwenye
bandari ya Tanga kulia ni Kaimu Meneja wa Bandari ya Tanga,Tryphoni
Ntipi kushoto ni PRO wa Mamlaka hiyo,Moni Jarufu. |
Meneja Mkuu wa Azam
Marine Hussein Mohammed katikati akisalimiana na Kaimu Meneja wa
Bandari ya Tanga, Tryphoni Ntipi wakati wa ujio
wa meli hiyo kushoto ni PRO wa Mamlaka hiyo Bi. Moni
Jarufu.
|
Mazungumzo
yakiendelea |
|
Meneja Mkuu wa Azam Marine Husein Mohammed
akizungumza na waandishi wa habari kuhusiana na ujio wa meli hiyo
kulia Mkurugenzi Mkuu wa Ulinzi na Usalama wa vyombo vya majini
(SUMATRA) Kaptain Mussa Mandia |
|
Mkurugenzi
Mkuu wa Ulinzi na Usalama wa vyombo vya majini (SUMATRA) Kaptain Mussa
Mandia katikati akizungumza na waandishi wa habari kushoto ni
Meneja Mkuu wa
Azam Marine Husein Mohammed |
|
Nahodha wa Meli hiyo akizungumza na
waandishi wa habari mara baada ya kufika Bandari ya
Tanga. |
Waandishi wa Habari
wakiwa kazini kushoto ni Amina Omari wa Gazeti la Mtanzania katikati
ni Mariam Shedafa wa Azam TV
Vifaa vya uokozi wakati
wa majanga ya ajali hivyo
Baadhi ya Sehemu ya VIP
ndani ya Meli hiyo kama inavyo onekana
Habari kwa Hisani ya Blog ya Kijamii ya Tanga Raha
No comments:
Post a Comment