Monday, December 26, 2016

Yaliyojiri Katika Vituo Mbalimbali vya Televisheni

SIMU.TV: Rais Dkt John Magufuli amewataka watanzania wote nchini kuendelea kuchapa kazi kwa maendeleo bora ya taifa; https://youtu.be/WRLhMrLfTRQ

SIMU.TV: Watanzania wameaswa kuishi kwa amani na umoja bila kujali tofauti zao za kiimani na kiitikadi za kichama; https://youtu.be/XmqfV4EDB9E

SIMU.TV: Waumini wa dini wa kikristo watoa wito kwa watanzania kuendelea kudumisha amani iliyopo nchini; https://youtu.be/opOLVyOrZ5I

SIMU.TV: Taasisi za dini nchini zimehusia juu ya kumlinda mtoto dhidi ya ukatili wa kijinsia; https://youtu.be/hUVL-slqQE4

SIMU.TV: Mchungaji Emmanuel wa mkoani Morogoro  aiomba serikali kudhibiti matumizi ya pombe aina ya viroba; https://youtu.be/psRpFQF-PP0

SIMU.TV: Serikali yaufunga mnada wa ng’ombe wa Malendi ulipo mkoani Singida kutokana na kukiuka taratibu za ufunguzi wa minada; https://youtu.be/opfPDwdViYw

SIMU.TV: Inaelezwa kuwa vilabu vya soka vya Tanzania vinavyoshiriki ligi kuu Tanzania bara havinufaiki na mauozo ya jezi zao; https://youtu.be/Ea_wSCbwbjQ

SIMU.TV: Kocha wa timu ya JTK Ruvu atetea uamuzi wake wa kumchezesha kiuongo mkabaji wa Serengeti Boy Kelvin Nashoni; https://youtu.be/-jyJs901rSo

SIMU.TV: Inaelezwa kuwa mpango wa shirikisho la mpira wa miguu duniani FIFA wa kumtaka nohodha pekee kuzungumza  nawaamuzi inawezaleta utata nchini; https://youtu.be/UavwNIBJM2c

SIMU.TV: Kiuongo wa kimataifa wa Ujerumani Julian Draxler akubali kujiunga na miamba ya soka ya Ufaransa PSG kwa mkataba wa miaka 4; https://youtu.be/6yI9UCN7Pm0

SIMU.TV: Waandaji wa muziki wa bongoflea wamesema wamefanya kazi kubwa kwa mwaka 2016 katika kuufikisha mziki wa bongofleva kimataifa; https://youtu.be/mTsnZc37KAA

SIMU TV: Rais Dkt John Magufuli ameungana na mamia ya waumini wa dini ya kikristo mkoani Singida kuadhimisha sikukuu ya Krismasi; https://youtu.be/7DuQcffNiOQ

SIMU TV:  Mkuu wa mkoa wa Arusha Mrisho Gambo amesema waandishi wa habari wanapaswa kuandika habari kutegemeana na maadili yao; https://youtu.be/a5GRTH2DD2c

SIMU TV:  Taasisi ya kifedha ya Bayport imetoa kompyuta 2 katika halmashauri ya Arumeru mkoani Arusha ili kusaidia utendaji kazi; https://youtu.be/4O2mE026SYs

SIMU TV:  Serikali imeutaka uongozi wa mkoa wa Mtwara kusimamia msimamo wao kusafirisha zao la korosho kwa njia ya Bandari ; https://youtu.be/plRrcTcvVag

SIMU TV:  Kikosi cha usalama barabarani mkoani Shinyanga wameendesha operesheni ya Abiria paza sauti  kwa lengo la kupunguza ajali; https://youtu.be/7MUKDWRpf3Q

SIMU TV:  Wakazi wa kata ya Mtakuja wilayani Geita wameulalamikia mgodi wa madini wa Geita Gold Mine kwa kuwakataza kufanya shughuli za maendeleo; https://youtu.be/GKN8ZyGOXGI

SIMU TV:  Tazama jinsi wakazi wa jiji la Dar Es salaam walivyosherehekea sikukuu ya Krismas katika fukwe mbalimbali za bahari ; https://youtu.be/39l2JtMrHhU

SIMU TV:  Mwaka 2016 umeelezwa kuwa na mafanikio ya mchezo wa Gofu ukilinganisha na miaka kadhaa iliyopita huko nyuma; https://youtu.be/O1NBVXBUCSs

SIMU TV:  Chama cha mieleka nchini kimeiomba serikali kuwasaidia kupatikana kwa vifaa vya mchezo huo vilivyokwama bandarini kutokana na madai ya kodi; https://youtu.be/8bT8ZHubAl0

SIMU TV:  Matokeo ya sare dhidi ya Azam Fc yamezidi kuipa matumaini timu ya Majimaji ya kuendelea kubaki katika Ligi mkuu Tanzania bara ; https://youtu.be/se2ML8tZAak

SIMU TV:  Kocha wa Arsenal Arsene Wenger amesema kiungo wake Mesut Ozil atawashangaza wote wanamkosoa katika michezo ijayo ; https://youtu.be/Syk4tiWUkxA

No comments: