Soko la Magomeni ambalo limejengwa katika Wilaya ya Bagamoyo kwa ufazili wa programu ya miundombinu ya masoko,uongezaji thamani na huduma za kifedha Vijijini(Mivarf) uliopo chini ya Ofisi ya Waziri Mkuu .
Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu Sera,Bunge,Kazi,Vijana,Ajira na Walemavu Mhe.Jenista Mhagama akipitia ripoti ya utekelezaji wa miradi inayotekelezwa na halmashauri ya wilaya ya Bagamoyo kwa ufazili wa programu ya miundombinu ya masoko,uongezaji thamani na huduma za kifedha Vijijini(Mivarf) ulio chini ya Ofisi ya Waziri Mkuu.Kushoto kwa waziri ni Mbunge wa bagamoyo Mhe.Shukuru Kawambwa,Mbunge wa Chalinze Mhe.Riziwani Kikwete na Mkuu wa wilaya ya Bagamoyo Bw.Majid Hemed Mwanga
Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu Sera,Bunge,Kazi,Vijana,Ajira na Walemavu Mhe.Jenista Mhagama akiangalia moja ya vyumba vilivyopo katika soko la Magomeni lililopo katika miradi inayotekelezwa na halmashauri ya wilaya ya bagamoyo kwa ufazili wa programu ya miundombinu ya masoko,uongezaji thamani na huduma za kifedha Vijijini(Mivarf) ulio chini ya Ofisi ya Waziri Mkuu.Kulia kwa waziri mwenye miwani ni Mratibu wa Mradi huo Bw.Walter Swai.
Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu Sera,Bunge,Kazi,Vijana,Ajira na Walemavu Mhe.Jenista Mhagama akikagua ubora wa milango katika soko la Magomeni lililojengwa katika wilaya ya bagamoyo kata ya magomeni kupitia mradi miradi inayotekelezwa na halmashauri ya wilaya ya bagamoyo kwa ufazili wa programu ya miundombinu ya masoko,uongezaji thamani na huduma za kifedha Vijijini(Mivarf) ulio chini ya Ofisi ya Waziri Mkuu.
Mbunge wa Jimbo la Chalinze Mhe.Ridhiwani Kikwete akizungumza na wakazi wa kiwangwa,Chalinze wakati Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu Sera,Bunge,Kazi,Vijana,Ajira na Walemavu Mhe.Jenista Mhagama alipotembelea mradi wa barabara unaotekelezwa na Halmashauri ya wilaya ya Chalinze kwa ufazili wa programu ya miundombinu ya masoko,uongezaji thamani na huduma za kifedha Vijijini(Mivarf) ulio chini ya Ofisi ya Waziri Mkuu.
Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu Sera,Bunge,Kazi,Vijana,Ajira na Walemavu Mhe.Jenista Mhagama akijibu maswali mbalimbali aliyoulizwa na wananchi wa kiwangwa,Chalinze wakati alipotembelea miradi inayotekelezwa na halmashauri ya wilaya ya Chalinze kwa ufazili wa programu ya miundombinu ya masoko,uongezaji thamani na huduma za kifedha Vijijini(Mivarf) ulio chini ya Ofisi ya Waziri Mkuu.
Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu Sera,Bunge,Kazi,Vijana,Ajira na Walemavu Mhe.Jenista Mhagama na Mbunge wa Jimbo la Chalinze Mhe.Ridhiwani Kikwete wakifuatilia kwa makini hoja mbalimbali za wananchi wa kiwangwa,Chalinze wakati waziri uyo alipotembelea miradi inayotekelezwa na halmashauri ya wilaya ya Chalinze kwa ufazili wa programu ya miundombinu ya masoko,uongezaji thamani na huduma za kifedha Vijijini(Mivarf) ulio chini ya Ofisi ya Waziri Mkuu.
Picha na Daudi Manongi-MAELEZO.
No comments:
Post a Comment