Mtafiti katika masuala ya habari Bi. Alina Mungiu (wakwanza kulia)akijibu maswali wakati wa kikao cha Asasi za Kiraia katika mkutano wa Nne wa Mpango wa uendeshaji wa serikali kwa uwazi Jijini Paris Nchini Ufaransa ambapo alieleza jinsi uwepo za sheria za habari na sheria za haki ya kupata taarifa zinavyoweza kusaidia katika mapambano dhidi ya rushwa.
Washiriki wa mkutano wa Nne wa Mpango wa uendeshaji wa serikali kwa uwazi Jijini Paris Nchini Ufaransa wakimsikiliza Mkurugenzi wa Ushirikishwaji wa Asasi za Kiraia Bw. Paul Maasen
Baadhi ya washiriki wa mkutano wa Nne wa Mpango wa uendeshaji wa serikali kwa uwazi Jijini Paris Nchini Ufaransa wakishiriki katika majadiliano ya masuala mbalimbali yanayohusiana na mpango wa uendeshaji wa serikali kwa uwazi

Sehemu ya washiriki wa mkutano wa Nne wa Mpango wa uendeshaji wa serikali kwa uwazi Jijini Paris Nchini Ufaransa wakishiriki katika majadiliano ya masuala mbalimbali yanayohusiana na mpango wa uendeshaji wa serikali kwa uwazi.
Mtafiti
katika masuala ya habari Bi. Alina Mungiu (wakwanza kulia)akijibu maswali
wakati wa kikao cha Asasi za Kiraia katika mkutano wa Nne wa Mpango wa
uendeshaji wa serikali kwa uwazi Jijini Paris Nchini Ufaransa ambapo alieleza
jinsi uwepo za sheria za habari na sheria za haki ya kupata taarifa zinavyoweza
kusaidia katika mapambano dhidi ya rushwa.
Mkurugenzi
wa Ushirikishwaji wa Asasi za Kiraia Bw. Paul Maasen akiongea na washiriki wa
mkutano wa Nne wa Mpango wa uendeshaji wa serikali kwa uwazi Jijini Paris
Nchini Ufaransa ambapo alisema serikali kutoa huduma kwa uwazi kutasaidia
kuondoa vitendo vya rushwa na uwazi.
Washiriki
wa mkutano wa Nne wa Mpango wa uendeshaji wa serikali kwa uwazi Jijini Paris
Nchini Ufaransa wakimsikiliza Mkurugenzi wa Ushirikishwaji wa Asasi za Kiraia
Bw. Paul Maasen
Baadhi
ya washiriki wa mkutano wa Nne wa Mpango wa uendeshaji wa serikali kwa uwazi
Jijini Paris Nchini Ufaransa wakishiriki katika majadiliano ya masuala
mbalimbali yanayohusiana na mpango wa uendeshaji wa serikali kwa uwazi
Baadhi ya washiriki wa mkutano wa Nne wa Mpango wa uendeshaji wa serikali kwa uwazi Jijini Paris Nchini Ufaransa wakishiriki katika majadiliano ya masuala mbalimbali yanayohusiana na mpango wa uendeshaji wa serikali kwa uwazi
Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Twaweza Bw.Aidan
Eyakuze akiongea na Sehemu ya washiriki wa mkutano wa Nne wa Mpango wa uendeshaji wa serikali kwa uwazi Jijini Paris Nchini Ufaransa wakishiriki katika majadiliano ya masuala mbalimbali yanayohusiana na mpango wa uendeshaji wa serikali kwa uwazi
Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Twaweza Bw.Aidan
Eyakuze akifafanua jambo.
Mtafiti
katika masuala ya habari Bi. Alina Mungiu akitoa mada kuhusu namna asasi za
kiraia na ukuaji wa teknolojia unaweza kusaidia katika mapambano dhidi ya
rushwa.
PICHA NA HASSAN
SILAYO-MAELEZO-PARIS (UFARANSA)
No comments:
Post a Comment