Friday, December 23, 2016

Usiku wa Bi harusi mtarajiwa Amina Mohamed

 Bi harusi mtarajiwa Amina Mohamed akiwa katika pozi
 Bi harusi mtarajiwa, Amina akiwa na uso wa furaha

 Ni hivi  punde Bi harusi mtarajiwa,  Amina Mohamed (wa tano kulia) atafunga Ndoa yake na mpendwa wake  Ashrafu Issa, hapa akiwa katika picha ya pamoja  wanafamilia
  Bi harusi mtarajiwa,  Amina Mohamed akiingizwa katika ukumbini wakati wa shughuli yake ya kuagwa (kitchen mada) eneo la Sinza Mapambano Dar es Salaam ambapo leo 23 Dec 2016 baada ya Swala ya ijumaa anatarajia kufunga Ndoa na Mpendwa  Mume wake katiaka maeneo hayo ya Sinza , mbele ni Muuguzi wa Hospitali ya Taifa Muhumbili ambaye ni wifi wa biharusi mtarajiwa, Subira Mheta akiwa na furaha iliyopitiliza
   Bi harusi mtarajiwa,  Amina Mohamed akitunzwa na mmoja wa mwanafamilia
 Kikundi cha akina mama wakitowa burudani kwa kupiga Dufu wakati wa hafla fupi ya kumuaga Bi harusi mtarajiwa, Amina Mohamed iliyofanyika nyumbani kwao Sinza Mapambano Dar es Salaam
 Mmoja wa mwanafamilia akimtunza zuria la kufutia miguu
  Bi harusi mtarajiwa,  Amina Mohamed katika pozi na  Muuguzi wa Hospitali ya Taifa Muhumbili ambaye ni wifi yake,  Subira Mheta, Bi Subira alipata nafasi ya kumuusia machache na alianza kwa kusema, Mimi sina mengi ya kuongea kwani mengi tumekwisha ongea, namuomba wifi akawe Balozi mzuri katika familia zote mbili bila kusahau Ibada na kumshawishi mwenzake wadumu katika Ibada ya kumjuwa Mungu , alisema, bi Subira 

  Biharusi  Amina Mohamed (kushoto) akiondoka Ukumbini tayari kwa kujiandaa na hafla ya Harusi yake itakayo fanyika leo baada ya Swala ya Ijumaa nyumbani kwao Sinza Mapambano Dar es Salaam
Wana kikundi cha Upendo Group wakimtunza bi harusi mtarajiwa, Amina Mohamed (wa nne kushoto) ambapo ni wanakikundi wenzake na Wifi yake, bi Subira Mheta ambaye ni Muuguzi Hospitali ya Taifa Muhimbili. (PICHA ZOTE NA KHAMISI MUSSA) Kampuni ya K M Express Photo Studio na Mmiliki wa ujijirahaa blog

No comments: