Tuesday, December 20, 2016

TASWIRA ZA KARIAKOO JIJINI DAR ES SALAAM KUELEKEA SIKUKUU ZA MWISHO WA MWAKA

Wakazi wa Dar es Salaam wakiwa katika harakati ya kupata mahitaji kuelekea sikukuu za mwisho wa mwaka katika eneo la Kariakoo jijini Dar es Salaam. Picha na Emmanuel Massaka,Globu ya Jamii.No comments: