Monday, December 26, 2016

tamasha la sikukuu ya krismasi la”Nogesha Upendo” la WCB Wasafi lanoga Dar es salaam na Iringa

Sehemu ya umati ya wakazi wa manispaa ya Iringa waliojitokeza katika”Nogesha Upendo” lililoandaliwa na WCB Wasafi na kudhaminiwa Vodacom Tanzania  lilifanyika katika uwanja wa Samora mjini Iringa jana..
 Msanii kutoka WCB, Harmonize akitumbuiza katika”Nogesha Upendo”lililoandaliwa na WCB Wasafi na kudhaminiwa Vodacom Tanzania  lilifanyika katika uwanja wa Samora mjini Iringa jana..
Msanii wa kimataifa Diamond Platinumz akitumbuiza katika”Nogesha Upendo” lililoandaliwa na WCB Wasafi na kudhaminiwa Vodacom Tanzania  lilifanyika katika uwanja wa Samora mjini Iringa jana..
 Mwanamuziki nguli wa muziki wa bongo fleva Diamond Platinumz akikonga nyoyo za  mashabiki wake wakati wa tamasha la mkesha wa sikukuu ya krismasi la”Nogesha Upendo” lililoandaliwa na WCB Wasafi na kudhaminiwa Vodacom Tanzania  lilifanyika katika ufukwe wa bahari ya hindi  Jangwani Seabreez jijini Dar es Salaam.

  Wasanii wa muziki wa kundi la Navy Kenzo wakiwapagawisha mashabiki wakati wa tamasha la mkesha wa sikukuu ya krismasi la”Nogesha Upendo” lililoandaliwa na WCB Wasafi na kudhaminiwa Vodacom Tanzania  lilifanyika katika ufukwe wa bahari ya hindi  Jangwani Seabreez jijini Dar es Salaam.
 Mwanamuziki nguli wa muziki wa bongo fleva Diamond Platinumz akikonga nyoyo za  mashabiki wake wakati wa tamasha la mkesha wa sikukuu ya krismasi la”Nogesha Upendo” lililoandaliwa na WCB Wasafi na kudhaminiwa Vodacom Tanzania  lilifanyika katika ufukwe wa bahari ya hindi  Jangwani Seabreez jijini Dar es Salaam.

 Mwanamuziki nguli wa muziki wa bongo fleva Diamond Platinumz akikonga nyoyo za  mashabiki wake wakati wa tamasha la mkesha wa sikukuu ya krismasi la”Nogesha Upendo” lililoandaliwa na WCB Wasafi na kudhaminiwa Vodacom Tanzania  lilifanyika katika ufukwe wa bahari ya hindi  Jangwani Seabreez jijini Dar es Salaam.
Wacheza shoo wa WCB wakifanya mambo yao wake wakati wa tamasha la mkesha wa sikukuu ya krismasi la”Nogesha Upendo”lililoandaliwa na WCB Wasafi na kudhaminiwa Vodacom Tanzania  lilifanyika katika ufukwe wa bahari ya hindi  Jangwani Seabreez jijini Dar es Salaam.

No comments: