Wednesday, December 14, 2016

TAASISI YA DR. AMON MKOGA FOUNDATION YAKABIDHI MADATI 50 WILAYA YA KISARAWE LEO

Mkuu wa Wilaya ya Kisarawe, Happyness Seneda akizungumza kabla ya kupokea msaada madawati 50 kutoka kwa Taasisi ya Dr Amon Mkoga Foundation ambapo wadhamini wa mradi huo ni Kampuni ya Noble Motors,hafla hiyo ya makabidhiano yalifanyika katika Ofisi ya Mkuu wa Wilaya hiyo.PICHA ZOTE NA PHILEMON SOLOMON-FULLSHANGWEBLOG.
Mkuu wa Wilaya ya Kisarawe, Happyness Seneda akizungumza kabla ya kupokea msaada madawati 50 kutoka kwa Taasisi ya Dr Amon Mkoga Foundation ambapo wadhamini wa mradi huo ni Kampuni ya Noble Motors,hafla hiyo ya makabidhiano yalifanyika katika Ofisi ya Mkuu wa Wilaya hiyo.
Mkuu wa Wilaya ya Kisarawe, Happyness Seneda (katika), akimsikiliza Afisa Mauzo kutoka Kampuni ya Noble Motors Joseph Simon ambao ndio wadhamini wa mradi huo wakati akielezea kuhusiana misaada mbalimbali wanayoitoa katika jamii.
Amon Mkoga (kulia) ambaye ni Mwenyekiti Taasisi ya Dr.Amon Mkoga Foundation akifafanua jambo wakati wa hafla hiyo (kushoto) Afisa Mauzo kutoka Kampuni ya Noble Motors, Joseph Simon ambao ndio wadhamini wa mradi huo.
Mkuu wa Wilaya ya Kisarawe, Happyness Seneda (kulia) akipokea moja ya madawati 50 yaliyotolewa na Dr.Amon Mkoga Foundation na kukabidhiwa kwake na Mwenyekiti wa Taasisi hiyo Ndugu. Amon Mkoga, wanaoshuhudia (kushoto alievaa kaunda suti ni Katibu Tawala Wilaya ya Kisarawe, Mtela Mwambapa, katika Afisa Mauzo kutoka Kampuni ya Noble Motors, Josephu Simon ambao ndio wadhamini wa mradi huo.
Mkuu wa Wilaya ya Kisarawe, Happyness Seneda (kulia) akitoa shukrani mara baada ya kupokea madawati.
 
Mkuu wa Wilaya ya Kisarawe, Happyness Seneda (katikati), Mwenyekiti wa Taasisi hiyo Ndugu. Amon Mkoga, kushoto Afisa Mauzo kutoka Kampuni ya Noble Motors, Joseph Simon ambao ndio wadhamini wa mradi huo wakiwa katika picha ya pamoja.

No comments: