Kisima kilichojengwa kwa msaada wa Waturuki kupitia Ofisi ya Mbunge kuondoa adha ya kero ya mani iliyokuwa ikiwakabiri wanakijiji wa Kwamsanje kwa muda mrefu.
Mbunge wa Jimbo la Chalinze, Ridhiwani Kikwete akizungumza na watoto wakijiji cha Kwamsanje baada ya kufanya ziara ya kushitukiza kukaguwa miradi ya kimaendeleo katika Jimbo lake.
Mbunge wa Jimbo la Chalinze, Ridhiwani Kikwete akishirikiana na mwenyekiti wa kijiji cha Kwamsanje kufungua maji kwatika kisima kilichojengwa na watu wa Uturuki kupitia Ofisi ya Mbunge baada ya kufanya ziara ya kushitukiza kukaguwa miradi ya kimaendeleo katika Jimbo lake.
Mbunge wa Jimbo la Chalinze, Ridhiwani Kikwete akiwaunga mono wafanya biashara ya Machungwa katika kijiji cha Kibindu alipofanya ziara ya kushitukiza kukaguwa miradi ya kimaendeleo katika Jimbo lake la Chalinze.
Mbunge wa Jimbo la Chalinze, Ridhiwani Kikwete akiwaunga mono wafanya biashara ya Machungwa katika kijiji cha Kibindu alipofanya ziara ya kushitukiza kukaguwa miradi ya kimaendeleo katika Jimbo lake la Chalinze.
Mbunge wa Jimbo la Chalinze, Ridhiwani Kikwetee akiangalia maendeleo ya vyumba vya Madarasa katika Shule ya Msingi Kwakonje alipofanya ziara ya kushitukiza kukaguwa miradi ya kimaendeleo katika Jimbo lake la Chalinze.
Mbunge wa Jimbo la Chalinze, Ridhiwani Kikwete na Diwani wa Kata ya Kibindu Mh Mkufya wakiangalia maendeleo ya vyumba vya Madarasa katika Shule ya Msingi Kwakonje alipofanya ziara ya kushitukiza kukaguwa miradi ya kimaendeleo katika Jimbo lake la Chalinze.
Mbunge wa Jimbo la Chalinze, Ridhiwani Kikwete akizungumza na Mwalimu wa kujitolea katika Shule ya Msingi Kwakonje maendeleo alipofanya ziara ya kushitukiza kukaguwa miradi ya kimaendeleo katika Jimbo lake la Chalinze.
Mbunge wa Jimbo la Chalinze, Ridhiwani Kikwete akipata maelekezo kuhusu ujenzi wa vyumba vya Madarasa na Vyoo katika Shule ya Msingi Pera alipofanya ziara ya kushitukiza kukaguwa miradi ya kimaendeleo katika Jimbo lake la Chalinze.
Mbunge wa Jimbo la Chalinze, Ridhiwani Kikwete akipata maelekezo kutoka kwe Diwani wa Kata ya Kibindu Mkufya kuhusu ujenzi wa vyumba vya Madarasa na Vyoo katika Shule ya Msingi Pera alipofanya ziara ya kushitukiza kukaguwa miradi ya kimaendeleo katika Jimbo lake la Chalinze.
Mbunge wa Jimbo la Chalinze, Ridhiwani Kikwete akiwa katika Madawati ambayo yako nje kutokana na uhaba wa vyumba vya Madarasa katika Shule ya Msingi Pera alipofanya ziara ya kushitukiza kukaguwa miradi ya kimaendeleo katika Jimbo lake la Chalinze.
Mbunge wa Jimbo la Chalinze, Ridhiwani Kikwete akipata Kahawa na Wazee wa kijiji cha Kibindu alipofanya ziara ya kushitukiza kukaguwa miradi ya kimaendeleo katika Jimbo lake la Chalinze.
Mbunge wa Jimbo la Chalinze, Ridhiwani Kikwete akiagana na baadhi ya wanakijiji wa kijiji cha Kibindu baada ya mkutano wa hadhara alipofanya ziara ya kushitukiza kukaguwa miradi ya kimaendeleo katika Jimbo lake la Chalinze.
Mbunge wa Jimbo la Chalinze, Ridhiwani Kikwete akizungumza na wanakijiji wa Kwamsanje alipofanya ziara ya kushitukiza kukaguwa miradi ya kimaendeleo katika Jimbo lake la Chalinze
Mbunge wa Jimbo la Chalinze, Ridhiwani Kikwete akisaini kitabu cha wageni katika kijiji cha Kwamsanje alipofanya ziara ya kushitukiza kukaguwa miradi ya kimaendeleo katika Jimbo lake la Chalinze.
Friday, December 9, 2016
RIDHIWANI KIKWETE AFANYA ZIARA JIMBONI KWAKE KUKAGUWA MIRADI YA MAENDELEO
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment