Thursday, December 1, 2016

MKUU WA MKOA WA DAR ES SALAAM, PAUL MAKONDA ATOA SHUKRANI KWA MAKUNDI MBALIMBALI

Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda ametoa shukrani kwa makundi mbalimbali, wakuu wa idara pamoja na wadau waliofanikisha ziara yake ya kutembelea Wilaya zote za mkoa wa Dar es Salaam kujionea kero zinazowakabili wananchi pamoja na kuzitolea Majibu. Picha zote na Emmanuel Massaka,Globu ya jamii.


No comments: