Thursday, December 22, 2016

MANISPAA YA MAGHARIBI ‘A’ YAFANYA UZINDUZI WA VIKUNDI VYA USAFISHAJI KATIKA MANISPAA YAO.

 Mkurugenzi wa Manispaa Magharibi A Said Juma Ahmada akikusanya mchanga Barabara ijulikanayo kama Mkapa Rood kuashiria uzinduzi wa usafi wa Barabara za Manispaa hiyo.
  Wanakikundi wa Kikundi cha Mwera Hawai (TUSIJITENGE) wakifanya usafi wa Barabara ya Mkapa katika siku ya uzinduzi wa usafishaji Barabara za Manispaa ya Magharibi A.
  Mkurugenzi wa Manispaa Magharibi A Said Juma Ahmada na wanakikundi cha “Tusijitenge”wakizoa mchanga na kupakia katika Gari la kuzolea taka.
 Mwenyekiti Kikundi cha Mwera Hawai (TUSIJI TENGE) akizungumza na waandishi wa habari juu Maendileo ya Kikundi chao mara baada ya kumaliza zoezi la usafi wa Barabara za Manispaa ya Magharibi A.
 Wanakikundi cha Usafishaji cha Kijichi wakifanya usafi Barabara ya Kibweni Manispaa ya Magharibi A katika zoezi la kuzifanyia usafi barabara za Manispaa ya Magharibi A.
 Diwani wa kuteuliwa Manispaa ya Magharibi A Mbarouk Mrakib akizungumza na waandishi wa habari namna walivyojipanga kusimamia zoezi la usafi katika Manispaa yao.
Mkurugenzi Manispaa Magharibi A Said Juma Ahmada akiwaelezea waandishi wa habari mikakati yao ya usafi ya Manispaa hiyo. Picha na Abdallah Omar Maelezo Zanzibar.

No comments: