Waziri
Mkuu, Kassim Majaliwa akiwasalimia wananchi wa kijiji cha Londoluo
waliomsimamisha akiwa njiani kutoka Loliondo kwenda Longido mkoani
Arusha Desemba 16, 2016. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri
Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na viongozi wa wilaya ya Longido
baada ya kuwasili kwenye Ofisi za Halmashauri hiyo Desemba 16, 2016.
Waziri
Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na watumishi wa serikali na
halmashauri ya wilaya ya Longido kwenye ukumbi wa Mwalimu Julius
Kambarage Nyerere uliopo kwenye Ofisi za halmashauri hiyo Desemba 16,
2016.
Baadhi
ya watumishi wa serikali na halmashauri ya wilaya ya Longido
wakimsikiliza Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa wakati alipozungumza nao
kwenye ukumbi wa Mwalimu Julius Kambarage Nyerere uliopo kwenye Ofisi za
halmashuri hiyo Desemba 16, 2016.
Waziri
wa Maliasili na Utalii, Profesa Jumanne Maghembe akiwasalimia
watumishi wa halmashauri ya wilaya ya Longido kabla ya kumwalika Waziri
Mkuu, Kasim Majaliwa kuzungumza nao kwenye ukumbi wa halmashauri hiyo
wa Julius Kambarage Nyerere Desemba 15, 2016.
Mkuu
wa Wilaya ya Longido , Daniel Chongolo, akisoma taarifa ya maendeleo
ya wilaya hiyo mbele ya Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa kwenye ukumbi wa
halmashuri hiyo wa Julius Kambarage Nyerere Desemba 16, 2016.
No comments:
Post a Comment