Monday, December 12, 2016

Harambee for deceased Brother Leo Mapunda Mwakitalu in Columbus, Ohio, a huge success


 WaTanzania Columbus, Ohio na vitongoji wakijumuika pamoja siku ya Jumamosi Desemba 10, 2016 kwenye harambee ya mpendwa wao Leo iliyofanyka Columbus Ohio kwa ajili ya kuchangisha fedha za kusafirisha mwili wa marehemu nyumbani Tanzania kwa mazishi. Leo alifariki Desemba 3, 2016 Florida nchini Marekani. Picha na Vijimambo Blog na Kwanza Production.
 WaTanzania wa Columbus, Ohio wakiendelea na zoezi la harambee ya kujaribu kuchangisha fedha kusaidia kusafirisha mwili wa mpendwa wao Leo na gharama zingine siku ya Jumamosi Desemba 10, 2016.
 Mwongozaji wa harambee hiyo akisisitiza jambo.
 WaTanzania na marafiki wa Leo wakiendelea kuchangia kwenye harambee ya mpendwa wao iliyofanyika siku ya Jumamosi Desemba 10, 2016
Harambee ikiendelea
 WaTanzania wa Columbus, Ohio wakijumuika pamoja kwenye harambee ya mpendwa wao Leo iliyofanyika siku ya Jumamosi Desemba 10, 2016
Harambee ikiendelea siku ya Jumamosi Desemba 10, 2016
WaTanzania waliohudhuria harambee hiyo

2 comments:

Anonymous said...

Watanzania muishio Marekani na kwingineko kote, twawashukuru sana kwa support yenu. mioyo yetu inawashukuru kila siku tukimtafakari mpedwa wetu Leo. MUNGU awabariki sana sana. Familia inawashukuru sana. tunawapenda sana. umoja wenu usife na uendelee hivyo.
Enna
Leo's sister.

Mbutolwe Esther Mwakitalu said...

Hakika hatuna la kusema zaidi ya asante. Tunawashukuru sana wote waliofanikisha safari ya ndugu yetu/mtoto wetu Leo. Kipekee tunaishukuru sana Kamati ya maandalizi chini ya Mwenyekiti Bwana Deogratius Mwalujuwa, wajumbe Bro Kenan Haonga, Tumaini Katule, John Kasanda, JamesMwaipungu, Sisy Bumi na Wanakamati wengine wote. Mungu awabariki sana. Tunamuomba Mungu adumishe umoja wenu pia awazidishie pale mliotoa

Mbutolwe Esther Mwakitalu