Wednesday, December 7, 2016

DKT. SHEIN MGENI RASMI MAHFALI YA 14 CHUO KIKUU CHA TUNGUU ZANZIBAR

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akisalimiana na Viongozi wakati alipowasili katika viwanja vya Chuo Kikuu cha Tunguu (Zanzibar University) Wilaya ya Kati Mkoa wa Kusini Unguja akiwa mgeni rasmi katika Mahfali ya Kumi na Nnne yaliyofanyika Chuoni hapo.
Mkuu wa Chuo Kikuu cha Zanzibar Tunguu,pia Mwenyekiti wa Bodi ya Wadhamini Prof.Suleiman Bin- Nassry Basahal alipokuwa akiwatunuku Stashahad na Shada wahitimu katika fani mbali mbali wa mwaka 2016 wakati wa sherehe ya Mahfali ya kumi na nne yaliyofanyika leo katika Chuo hicho huko Tunguu Wilaya ya Kati Mkoa wa Kusini Unguja.
Baadhi ya waalikwa mbali mbali waliohudhuria katika sherehe za mahfali ya kumi na nne katuika Chuo Kikuu cha Tunguu 9(Zanzibar University) Wilaya ya Kati Mkoa wa Kusini Unguja yaliyofanyika leo,mgeni erasmi akiwa Rais Zanzibar na Mwenyekiti wa baraza la Mapinduzi Dk.Ali Moahmed Shein,(hayupo pichani).
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akipokea zawadi kutoka wa Mkuu wa Chuo Kikuu cha Zanzibar Tunguu,pia Mwenyekiti wa Bodi ya Wadhamini Prof.Suleiman Bin- Nassry Basahal wakati wa sherehe ya Mahfali ya kumi na nne iliyofanyika leo katika Chuo hicho huko Tunguu Wilaya ya Kati Mkoa wa Kusini Unguja.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akitoa hutuba yake wakati wa sherehe ya mahfali ya kumi na nne (14) katika Chuo Kikuu cha Tunguu (Zanzibar University) Wilaya ya Kati,Mkoa wa Kusini Unguja,(kulia) Prof.Saleh Idriss Kaimu Mwenyekiti wa Bodi ya Chuo na (kushoto) Mkuu wa Chuo Kikuu cha Zanzibar Tunguu,pia Mwenyekiti wa Bodi ya Wadhamini Prof.Suleiman Bin- Nassry Basahal.
Baadhi ya Wahitimu.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akifuatana na Mkuu wa Chuo Kikuu cha Zanzibar Tunguu,pia Mwenyekiti wa Bodi ya Wadhamini Prof.Suleiman Bin- Nassry Basahal (kulia) baada ya kumalizika kwa sherehe ya Mahfali ya kumi na nne yaliyofanyika leo katika Chuo hicho huko Tunguu (Zanzibar University) Wilaya ya Kati Mkoa wa Kusini Unguja,wengine (kushoto)Mkuu wa Mkoa wa Kusini Unguja Dkt.Adissa Muslim Hija na Makamo wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akiwapungia mkono wananchi mbali m,bali na Wahitimu wa Chuo Kikuu cha Zanzibar Tunguu,wakati wa sherehe ya Mahfali ya kumi na nne yaliyofanyika leo katika Chuo hicho huko Tunguu (Zanzibar University) Wilaya ya Kati Mkoa wa Kusini Unguja leo. Picha na Ikulu.

No comments: