Mkuu
wa wilaya ya Hai,Gelasius Byakanwa akizungumza na wananchi katika
kijiji cha Mkalama waliojitokeza kuunga mkono kampeni ya ujenzi wa
vyumba vya madarasa iliyozinduliwa hivi karibuni wilayani humo.

Afisa
tawala wa wilaya ya Hai,Julieth Mushi akishiriki katika zoezi la
ubebaji wa mawe kwa ajili ya ujenzi wa msingi katika shule hiyo.
Katibu
tawala wa wilaya ya Hai,Upendo Wela akishiriki katika usombaji wa mawe
kwa ajili ya ujenzi wa msingi katika shule mppya ya Kilima Mswaki.
Baadhi
ya wakazi wa kijiji cha Mkalama wilayani Hai wakishiriki kuvunja na
kubeba mawe kwa ajili ya ujenzi wa msingi wa madarasa katika shule mya
ya Kilima Mswaki iliopo kijijini hapo.
Mkuu
wa wilaya ya Hai,Gelasius Byakanwa akishiriki katika kuchimba msingi
katika shule mpya ya Kilima Mswaki wakati wa kuanza kwa ujenzi wa vyumba
vya madarasa.
Katibu tawala wa wilaya ya Hai Upendo Wela akishiriki kuchimba msingi katika shule hiyo.
Sehemu ya Msingi ulianza kuchimbwa katika shule mpya ya Kilima Mswaki iliyopo katika kijiji cha Mkalama.


Mkuu
wa wilaya ya Hai,Gelasius Byakanwa akizunumza katika kikao na wanachi
wa kijiji cha Mkalama mara baada ya kushiriki zoezi la uchimbaji na
ujenzi wa msingi kwa ajili ya madarasa katika shule ya msingi ya Kilima
Mswaki.
Baadhi
ya wnachi wakimsikiliza Mkuu wa wilaya (hayupo pichani) wakati
akizungumza nao kuhusu kuchangia katika ujenzi wa madarasa katika kijiji
cha Mkalama wilayani Hai.
Katibu tawala wa wilaya ya Hai,Uoendo Wela akizungumza wakati wa kikao hicho.kulia ni mkuu wa wilaya ya Hai,Gelasius Bakanwa.
No comments:
Post a Comment