Sunday, November 6, 2016

RAIS WA ZANZIBAR AFUNGUA NA KUKAGUA MIRADI YA MAENDELEO KISIWANI PEMBA

 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akisalimiana na Viongozi mbali mbali mara alipowasili katika viwanja vya Jengo la Halmashauri ya Wilaya ya Micheweni leo alipotembelea ujenzi wa jengo hilo akiwa katika ziara ya kuzindua miradi ya maendeleo katika Mikoa ya Pemba
 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kulia) akipata maelezo kutoka kwa Nd,Nassor Ali Nassor Mchoraji wa ramani katika kampuni ya United Construction LTD,(katikati) wakati alipotembelea jengo la Halmashauri ya Wilaya ya Micheweni leo akiwa katika ziara ya kuzindua miradi ya maendeleo katika Mikoa ya Pemba,(kushoto)Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa,Serikali za Mitaa na Idara Maalum za SMZ Mhe,Haji Omar Kheir
 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akizumngumza na wananchi na Viongozi alipotembelea ujenzi wa jengo la Halmashauri ya Wilaya ya Micheweni leo akiwa katika ziara ya kuzindua miradi ya maendeleo katika Mikoa ya Pemba,(katikati) Mkuu wa Mkoa wa Kaskazini Pemba Mhe,Omar Othman Khamis na (kushoto) Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa,Serikali za Mitaa na Idara Maalum za SMZ Mhe,Haji Omar Kheir
 Baadhi ya wananchi wa Micheweni Wilaya ya Micheweni Mkoa wa Kaskazini Pemba wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein(hayupo pichani) wakati alipozungumza na wanannchi hao wakati alipotembelea ujenzi wa jengo la Halmashauri ya Wilaya ya Micheweni leo akiwa katika ziara ya kuzindua miradi ya maendeleo katika Mikoa ya Pemba
 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akikata utepe kama ishara ya uzinduzi Ujenzi wa madarasa mapya  ya Maandalizi  katika Skuli ya Gando Wilaya ya Wete Mkoa wa Kaskazini Pemba akiwa katika ziara ya kufungua miradi mbali mbali ya Maendeleo,(kulia) Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Amali Mhe,Riziki Pembe Juma
 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akifungua pazia kama ishara ya uzinduzi wa madarasa mapya ya Maandalizi katika Skuli ya Gando Wilaya ya Wete Mkoa wa Kaskazini Pemba akiwa katika ziara ya kufungua miradi mbali mbali ya Maendeleo
 Baadhi ya wanafunzi wa Maandalizi wakiwa na Walimu wao katika sherehe ya Uzinduzi wa madarasa mapya yaliyojengwa na Wananchi kwa msaada wa Tassaf,ambapo  yaliyozinduliwa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein katika Skuli ya Gando Wilaya ya Wete Mkoa wa Kaskazini Pemba  leo,akiwa katika ziara ya kufungua miradi mbali mbali ya Maendeleo
 Wananchi wa Shehia za Gando wakiwa katika sherehe ya Uzinduzi wa madarasa mapya yaliyojengwa na Wananchi kwa msaada wa Tassaf yaliyozinduliwa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein katika Skuli ya Gando Wilaya ya Wete Mkoa wa Kaskazini Pemba  leo,akiwa katika ziara ya kufungua miradi mbali mbali ya Maendeleo
 Wasoma Utenzi Raya Rashid (kulia) na Fatma Hassan Mshindo wakitoa burudani  ya utenzi wao mbele ya  Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein wakati wa kusherehekea    Uzinduzi wa madarasa mapya ya Maandalizi yaliyojengwa na Wananchi kwa msaada wa Tassaf katika Skuli ya Gando,Wilaya ya Wete Mkoa wa Kaskazini Pemba leo
 Wananchi waliohudhuria  katika sherehe za uzinduzi wa madarasa mapya ya Maandalizi yaliyojengwa na Wananchi kwa msaada wa Tassaf katika Skuli ya Gando,Wilaya ya Wete Mkoa wa Kaskazini Pemba leo,wakifuatilia na kusikiliza nasaha mbali mbali zilizotolewa katika sherehe hiyo
 Wanafunzi wa Maandalizi wakiimba wimbo maalum wa kumkaribisha Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein mara baada ya kuyazindua madarasa yao leo katika Skuli ya Gando Wilaya yaWete Mkoa wa Kaskazini Pemba,akiwa katika ziara ya kufungua miradi mbali mbali ya Maendeleo Kisiwani Pemba
 Katibu Mkuu Ofisi ya Makamo wa Pili wa Rais wa Zanzibar Ndg. Abdallah Joseph Meza akisoma taarifa ya Ujenzi wa Madarasa mapya ya Maandalizi yaliyojengwa kwa msaada wa Tassaf katika Skuli ya Gando Wilaya ya Wete Mkoa wa Kaskazini Pemba leo wakati wa sherehe maalum ya uzinduzi uliofanywa na  Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein
 Viongozi mbali mbali waliohudhuria katika sherehe za uzinduzi wa Madarasa mapya ya Maandalizi yaliyojengwa katika Skuli ya Gando Wilaya ya Wete Mkoa  Kaskazini Pemba kwa masaada wa Tassaf na kuzinduliwa leo na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein
 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akiteta jambo na Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamo wa Pili wa Rais Mhe. Mohamed Aboud Mohamed wakati wa sherehe ya Uzinduzi wa Jengo la Madarasa mapya ya Maandalizi yaliyojengwa kwa msaada wa Tassaf katika Skuli ya Gando,Wilaya ya Wete Mkoa wa Kakskazini Pemba
 Baadhi ya wanafunzi wa Skuli ya Msingi ya Gando wakiwa wamejumuika katika sherehe ya uzinduzi wa jengo la madarasa mapya ya maandalizi yaliyojengwa kupitia Tassaf yamezinduliwa leo na  Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,akiwa katika ziara ya kuzindua miradi mbali mbali ya Maendeleo Mikoa ya Pemba
 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akimkabidhi  Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Amali Mhe,Riziki Pembe Juma,hati maalum ya kukamilisha Ujenzi wa madarasa mapya ya Maandalizi yaliyojengwa kwa kupitia Tassaf katika Skuli ya Gando Wilaya ya Wete Mkoa wa Kaskazini Pemba leo wakati wa Uzinduzi wa Rasmi wa Madarasa hayo
 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akitoa hutuba ya ufunguzi wa jengo la madarasa mapya ya Maandalizi yaliyojengwa kwa kupitia Tassaf katika Skuli ya Gando Wilaya ya Wete Mkoa wa Kaskazini Pemba leo,(kulia)  Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Amali Mhe,Riziki Pembe Juma,na (katikati) Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamo wa Pili wa Rais Mhe,Mohamed Aboud Mohamed
 Baadhi ya Viongozi waliohudhuria katika sherehe ya uzinduzi wa madarasa mapya ya Maandalizi yaliyojengwa kwa kupitia Tassaf katika Skuli ya Gando Wilaya ya Wete Mkoa wa Kaskazini Pemba leo,(kutoka kushoto) Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe,Issa Haji Ussi,Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa, Serikali za Mitaa na Idara bMaalum za SMZ Mhe,Haji Omar Kheir na Mwakilishi wa Tassaf Tanzania Faraji Mishael
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akifuatana na Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Amali Mhe,Riziki Pembe Juma (katikati) mara baada ya kumalizika kwa sherehe za uzinduzi wa madarasa mapya ya Maandalizi yaliyojengwa kwa kupitia Tassaf katika Skuli ya Gando Wilaya ya Wete Mkoa wa Kaskazini Pemba leo.
Picha na Ikulu.

No comments: