Monday, November 14, 2016

TAISOA wafanya mkutano wa 19 jijini Dar

Wajumbe wa Chama cha wataalam wa utoaji na udhibiti wa taarifa za uongozaji na usalama wa safari za anga Tanzania,(TAISOA) wakifuatilia hotuba ya Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Usafiri wa anga Tanzania TCAA, Hamza Johari (hayupo pichani) wakati wa ufunguzi wa mkutano wao mkuu wa 19 wa mwaka uliofanyika jijini Dar es Salaam.
Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Usafiri wa Anga Tanzania TCAA, Hamza Johari (katikati) na Kaimu Mkurugenzi wa idara ya uongozaji ndege na huduma za Ufundi Gideon Msheri (kulia) wakimsikiliza kwa makini Mwenyekiti wa Chama cha wataalam wa utoaji na udhibiti wa taarifa za uongozaji na usalama wa safari za anga Tanzania(TAISOA) Aminiel Ombeni wakati alipokuwa akitoa taarifa za chama hicho kwenye ufunguzi wa mkutano wao mkuu 19 wa mwaka uliofanyika jijini Dar es Salaam.
Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Usafiri wa Anga Tanzania TCAA, Hamza Johari, akisisitiza jambo wakati wa ufunguzi wa mkutano wa 19 wa mwaka wa wanachama wa Chama cha wataalam wa utoaji na udhibiti wa taarifa za uongozaji na usalama wa safari za anga Tanzania(TAISOA) uliofanyika jijini Dar es Salaam.Kutoka kulia ni Kaimu Mkurugenzi wa idara ya uongozaji ndege na huduma za Ufundi ,Gideon Msheri , Mwenyekiti wa Chama cha wataalam wa utoaji na udhibiti wa taarifa za uongozaji na usalama wa safari za anaga Tanzania,(TAISOA) Aminiel Ombeni na Kaimu Mkuu wa Kitengo cha taarifa za uongozaji na Usalama wa safari za anga, Obeid Dabana.
Wajumbe wa Chama cha wataalam wa utoaji na udhibiti wa taarifa za uongozaji na usalama wa safari za anaga Tanzania,(TAISOA) wakiwa kwenye mkutano wao mkuu wa mwaka wa 19 uliofanyika jijini Dar es Salaam.
Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Usafiri wa Anga Tanzania TCAA, Hamza Johari (watatu kutoka kulia waliokaa kwenye viti) akiwa kwenye picha ya pamoja na wajumbe wa Chama cha wataalam wa utoaji na udhibiti wa taarifa za uongozaji na usalama wa safari za anga Tanzania(TAISOA) mara baada ya kufungua mkutano wao mkuu wa mwaka wa 19 uliofanyika jijini Dar es Salaam.
Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Usafiri wa Anga Tanzania TCAA, Hamza Johari (katikati waliosimama mstari wa mbele) akiwa kwenye picha ya pamoja na wajumbe wa Chama cha wataalam wa utoaji na udhibiti wa taarifa za uongozaji na usalama wa safari za anga Tanzania(TAISOA) baada ya kufungua mkutano wao mkuu wa mwaka wa 19 uliofanyika jijini Dar es Salaam.

No comments: