Tuesday, November 29, 2016

SIMU TV: HABARI KUTOKA TELEVISHENI



SIMU.TV: Spika mstaafu Anne Makinda ameiomba serikali kuharakisha mchakato wa marekebisho ya sheria ya ndoa ya mwaka 1971 ili kuongeza nguvu katika kupambana na ukatili wa kijinsia nchini. https://youtu.be/d4zLkiFJGXs

SIMU.TV: Hospitali ya taifa ya Muhimbili inatarajiwa kuanza kufanya uchunguzi wa homa ya ini na kutoa matibabu kwa ugonjwa huo kuanzia mwezi desemba mwaka huu. https://youtu.be/-asVqQ8p2jk

SIMU.TV: Shirika la mfuko wa hifadhi ya jamii la NSSF limeendelea kuwaondoa wadaiwa sugu walionunua nyumba na kushindwa kulipia katika maeneo ya Mtoni Kijichi. https://youtu.be/9Bhi3U1Z2KM

SIMU.TV: Shirika la maji safi na maji taka jijini Dar es Salaam DAWASCO limeombwa kushughulikia tatizo la maji taka yanayotiririka katika hospitali ya Apolo. https://youtu.be/87PPbETGFD4

SIMU.TV: Uongozi wa mamlaka ya bandari TPA umelalamikia wafanyabiashara wa korosho kutofikisha mizogo kwa wakati katika bandari ya Mtwara. https://youtu.be/0nAARbIzgF4

SIMU.TV: Waratibu wa madawati ya uwezeshaji kwa wananchi kanda ya Kusini na Pwani wametakiwa kuwa mabozi wa kutoa miongozo ya namna ya kuongeza ushiriki wa wananchi kwenye miradi ya uwekezaji. https://youtu.be/_1cpnHy65Z8

SIMU.TV: Mkuu wa mkoa wa Tabora amewataka maafisa ugani na viongozi wa wilaya kwenda vijijini kuwaelekeza wakulima namna ya kulima kilimo bora. https://youtu.be/PS-vX9WfPCo

SIMU.TV: Serikali imesema itainua zaidi soka la wanawake nchini ili kuhakikisha zinapatikana timu bora zaidi pamoja na kupata wadhamini kwa soka hilo. https://youtu.be/C8_u4eYtgYk

SIMU.TV: Waziri wa habari utamaduni sanaa na michezo amepokea picha ya rais Dr John Pombe Maguful kutoka kwa kikundi cha Angavu Youth Group na kuwataka vijana kuwa wabunifu zaidi. https://youtu.be/jTiOarGnR9c

SIMU.TV: Timu ya vijana ya Simba imekubali kubanwa mbavu na timu ya vijana ya Majimaji baada ya kutoka sare ya mabao matatu kwa matatu. https://youtu.be/7xYY6y2_csk

SIMU.TV: Meneja wa klabu ya Manchester United Jose Mourinho anaweza kuingia tena matatizoni na chama cha michezo cha FA kutokana na kutolewa uwanjani hapo jana baada ya kuonesha kukerwa na mwaamuzi. https://youtu.be/if_1XecUL_s

No comments: