SIMU.TV: Serikali imeombwa kuwachukulia hatua wazazi wote wanaokataza watoto wao kwenda shule ili kupatiwa Elimu; https://youtu.be/iORBllQHJTQ
SIMU.TV: Baadhi ya wakulima wa korosho mkoani Mtwara wamelalamika kuchelewa kwa fedha zao za mauzo ya zao la hilo; https://youtu.be/apthyli01k0
SIMU.TV: Baadhi ya waathirika wa ajali za barabarni wameiomba serikali kuwasaidia vifaa ambavyo vitawasaidia kuendesha maisha yao baada ya kupata ulemavu; https://youtu.be/eOg77Pctyic
SIMU.TV: Mama wajawazito wameshauriwa kuacha kufanyakazi kupita kiasi ili kuepukana na tatizo la kujifungua watoto kabla ya wakati; https://youtu.be/Bejf36DaxUQ
SIMU.TV: Afisa mfawidhi wa shirika la chakula duniani WHO amesema hawatosita kusitisha kutoa misadaa ya chakula kwa wakimbizi endapo mpango wa kuwapatia fedha utafanikiwa; https://youtu.be/Ot9gAX6kG3Q
SIMU.TV: Serikali imesema itaendelea kushirikiana na wadau mbalimbali katika kuhakikisha rasilimali za bahari, mito na maziwa zinalindwa; https://youtu.be/7PG_-5i5C_U
SIMU.TV: Waziri wa Elimu nchini Uganda amewataka wasomi barani Afrika kutumia Elimu zao katika mapambano dhidi ya rushwa; https://youtu.be/X5deBF4xmTg
SIMU.TV: Serikali na vyama vya ulemavu kwa ukanda wa Afrika mashariki, wameshauriwa kuwekeza katika mchezo wa Tenis kwa watu wenye ulemavu; https://youtu.be/inlx6bbv2PI
SIMU.TV: Timu ya Gofu ya Lugalo imeweka heshima kwa kunyakua ubingwa katika mashindano ya kombe la mkuu wa majeshi kwa mara ya tatu mfululizo; https://youtu.be/vKs3dV2Klrw
SIMU.TV: Naibu waziri wa habari Anastazia Wambura, amewataka akina mama wa jumuiya ya wazazi ya CCM mkoani Mtwara kuungana na kutengeneza timu ya mpira wa miguu; https://youtu.be/roJSK0DmFuU
SIMU.TV: Tasnia ya michezo hapa nchini imepatwa na msiba baada ya kufariki kwa aliyewahi kuwa makamu mwenyekiti wa klabu ya Yanga Christopher Shekiyondo; https://youtu.be/nj42ILXNb1g
SIMU.TV: Waziri mkuu Kassim Majaliwa ametoa muda wa siku 18 kwa mkandarasi wa kiwanda cha Kilua Steel Group awe amemaliza kuweka umeme mkubwa kiwandani hapo. https://youtu.be/qeWziJ5wARk
SIMU.TV: Wafanyabiashara wa soko kuu la manispaa ya Songea wametakiwa kuendelea na biashara zao wakati uongozi ukiendelea kushughulikia kero zao. https://youtu.be/h_dC_slyh2w
SIMU.TV: Jamii ya kimasai mkoani Arusha imeanza kupewa elimu ili kuondokana na mfumo dume unaokandamiza wanawake na kuwanyima haki ya kumiliki mali. https://youtu.be/HMQHdeodB-c
SIMU.TV: Wakulima wa kjiji cha Kyomu kata ya Kahe mashariki mkoani Kilimanjaro wametelekeza mradi wa umwagiliaji kwa njia ya matone ulioanzishwa na serikali ili kuwaongozea wakulima kipato. https://youtu.be/V5ykUo7_akM
SIMU.TV: Jumla ya vijana hamsini wameondoka nchini leo kwenda Nchini China kusomea masuala mbalimbali ikiwemo Afya na uhandisi wa petroli na majengo. https://youtu.be/PeNDeIhvjL0
SIMU.TV: Mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam amewataka watendaji mbalimbali mkoani humo kutimiza wajibu wao kwa kutatua kero zinazowakabili wananchi. https://youtu.be/K7tRzb7T8rs
SIMU.TV: Hospitali ya rufaa ya mkoa wa Mbeya inakabiliwa na ukosefu wa njia za kupitisha maiti kuwapeleka katika chumba cha kuhifadhia pale wagonjwa wanapofariki. https://youtu.be/GeXMm2mf6BA
SIMU.TV: Wakazi wa kata ya Kivule manispaa ya Ilala mkoani Dar es Salaam wamemlalamikia mkandarasi wa kuzoa takataka katika mtaa huo kutokana na kufanya kazi hiyo nje ya utaratibu. https://youtu.be/9Z-aN6j5Hkg
SIMU.TV: Changamoto ya uvamizi wa misitu katika wilaya ya Mpanda mkoani Katavi imeendelea kuwa ngumu kutokana na wananchi kuendelea kufanya shughuli za kilimo ndani ya misitu
SIMU.TV: Mashindano ya Azam Federation cup imezinduliwa leo katika viwanja vya Mkwakwani mkoani Tanga ambapo timu 86 zitashiriki katika michuano hiyo. https://youtu.be/xuwKhIeQ3Fc
SIMU.TV: Jaji mkuu wa Tanzania Othuman Chande amewaasa waandishi wa habari za michezo na kuwaeleza kuwa wanajukumu la kuwaelimisha watanzania kwa maendeleo ya michezo nchini. https://youtu.be/vqpGERNk7TM
SIMU.TV: Michuano ya ligi ya vijana imeendelea leo katika uwanjawa Kaitaba mkoani Kagera ambapo timu ya vijana ya Mwadui ilifanikiwa kuifunga Toto bao moja kwa bila. https://youtu.be/ogYli32PSyE
No comments:
Post a Comment