Monday, November 28, 2016

MAMA MITINDO ASYA IDAROUS KHAMSIN AFANYA KWELI APEPERUSHA BENDERA YA TANZANIA BOSTON, MA NCHINI MAREKANI

 Nguli wa mitindo kutoka Tanzania na Marekani mama Asya Idarous Khamsin akipata picha ya kumbukumbu kwenye maonyesho ya vivazi yaliyoshirikisha wanamitindo mbalimbali kutoka bara la Afrika yaliyofanyika  siku ya Jumamosi Novemba 26, 2016 Boston, Massachusetts nchini Marekani na yeye kuwa mwakilishi pekee aliyepeperusha bendera ya Tanzania mjini hapo.
 Mwanamitindo nguli mama Asya Idarous Khamsini akipata picha ya kumbukumbu.
Mlimbwende wa vivazi vya mwanamitindo nguli Asya Idarous Khamsin akipita mbele ya mashabiki wa mitindo.
Mlimbwende wa vivazi vya mwanamitindo nguli Asya Idarous Khamsin akipita mbele ya mashabiki wa mitindo
Mlimbwende wa vivazi vya mwanamitindo nguli Asya Idarous Khamsin akipita mbele ya mashabiki wa mitindo

No comments: