Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa
akizungumza wakati alipofungua Mkutano Mkuu wa Sita wa Shirikisho la
Wafanyakazi (TUKTA) kwenye ukumbi wa Chuo cha Mipango mjini Dodoma
Novemba 23, 2016. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais,
Utumishi, Angela Kairuki akizungumza katika Mkutano Mkuu wa Sita wa
Shirikisho la Vyama vya Wafanyakazi (TUCTA) uliofunguliwa na Waziri
Mkuu, Kassim Majaliwa kwenye ukumbi wa Chuo cha Mipango mjini Dodoma
Novemba 23,2016. (Picha na Ofisi ya Waziri )
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa
akisalimiana na Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Jordan Rugimbana (wapili
kulia) katikati ni Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu Sera, Bunge,
Uratibu, Kazi, Ajira na Walemavu, Jenista Mhagama (kulia), na Rais
wa Shirikisho la Vyama vya Wafanyakazi (TUCTA), Gratian Mukoba (kulia)
wakati alipowasili kwenye ukumbi wa Chuo cha Mipango mjini Dodoma
kufungua Mkutano Mkuu wa Sita wa TUCTA, Novemba 23, 2016. (Picha na
Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa
akishiriki kuimba wimbo wa mshikamano kabla ya kufungua Mkutano Mkuu wa
Sita wa Shirikisho la Vyama vya Wafanyakazi (TUCTA) kwenye ukumbi wa
Chuo cha Mipango mjini Dodoma Novemba 23, 2016. Kulia kwake ni Waziri
wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu Mkuu Sera, Bunge, Uratibu, Kazi, Ajira
na Walemavu, Jenista Mhagama na kushoto kwake ni Mkuu wa Mkoa wa
Dodoma, Jordan Rugimbana . (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Baadhi ya wajumbe wa Mkutano
Mkuu wa Sita wa Shirikisho la Wafanyakazi (TUCTA) wakiimba wimbo wa
Mshikamano kabla ya Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa kufungua mkutano wao
kwenye ukumbi wa Chuo cha Mipango mjini Dodoma Novemba 23, 2016. (Picha
na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri
Mkuu Sera, Bunge, Uratibu, Kazi, Ajira na Walemavu, Jenista Mhagama
akizungumza katika Mkutano Mkuu wa Sita wa Shirikisho la Vyama vya
Wafanyakazi (TUCTA) uliofunguliwa na Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa kwenye
ukumbi wa Chuo cha Mipango mjini Dodoma Novemba 23,2016. (Picha na
Ofisi ya Waziri )
Rais wa Shirikisho la Vyama vya
Wafanyakazi (TUCTA) , Gratian Mukoba akizungumza katika Mkutano Mkuu wa
Sita wa Shirikisho la Vyama vya Wafanyakazi (TUCTA) uliofunguliwa na
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa kwenye ukumbi wa Chuo cha Mipango mjini
Dodoma Novemba 23,2016. (Picha na Ofisi ya Waziri )
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa
akizungumza wakati alipofungua Mkutano Mkuu wa Sita wa Shirikisho la
Wafanyakazi (TUKTA) kwenye ukumbi wa Chuo cha Mipango mjini Dodoma
Novemba 23, 2016. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Baadhi ya washiriki wa Mkutano
Mkuu wa Sita wa Shirikisho la Vyama vya Wafanyakazi (TUCTA) wakimsikilza
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa wakati alipofungua mkutano huo kwenye
ukumbi wa Chuo cha Mipango mjini Dodoma Novemba 23, 2016. (Picha na
Ofisi ya Waziri Mkuu)
Baadhi ya washiriki wa Mkutano
Mkuu wa Sita wa Shirikisho la Vyama vya Wafanyakazi (TUCTA) wakimsikilza
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa wakati alipofungua mkutano huo kwenye
ukumbi wa Chuo cha Mipango mjini Dodoma Novemba 23, 2016. (Picha na
Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa
akiwa katika picha ya pamoja na baadhi ya Viongozi wa Shirikisho la
Vyama vya Wafanyakazi (TUCTA) na wananchama wa TUCTA baada ya kufungua
Mkutano Mkuu wa Sita kwenye ukumbi wa Chuo cha Mipango mjini Dodoma
Novemba 23, 2016. Kulia kwake ni Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu,
Sera, Uratibu na Bunge, Kazi, Ajira , Vijana na Walemavu, Jenista
Mhagama na kulia kwake ni Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais Utumishi, Angela
Kairuki.(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa
akisalimiana na Ulumbi Shani ambaye alikuwa ni mmoja wa washiriki wa
Mkutano Mkuu wa Sita wa Shirikisho la Vyama vya Wafanyakazi (TUKTA)
uliofunguliwa na Waziri Mkuu kwenye ukumbi wa Chuo cha Mipango mjini
Dodoma Novemba 23, 2016. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
No comments:
Post a Comment